I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,787
- 10,175
Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/-
Pia tusichanganye makato mengine ya watoa huduma yaani benki au kampuni ya simu na VAT.
Mfano anayetuma shilingi 20,000/- makato ya kampuni ya simu ni shilingi 2,288.3/-, makato ya VAT ni shilingi 411.87/- na tozo ya Serikali tunayozungumzia ni shilingi 383/- tu. =Gerson msigwa
👉Ndugu watanzania mjiandae kuhesabiwa.