Naibu Spika wa Bunge Musa Zungu alaumu tozo kukataliwa. Wananchi, makampuni ya simu na benki zahusishwa

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,787
10,181
"Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].”

"Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali inayojenga madarasa ndiyo inalaumiwa. Kwa hiyo kuna kizingiti ambacho kinatengenezwa kuipiga dongo Serikali wakati pesa wanachukua watu wengine."

-Naibu Spika Mussa Zungu.
 
Akalee wajukuu. Umri umemtupa mkono!! Yeye mwenyewe yuko hapo kwa hongo.
 
"Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].”

"Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali inayojenga madarasa ndiyo inalaumiwa. Kwa hiyo kuna kizingiti ambacho kinatengenezwa kuipiga dongo Serikali wakati pesa wanachukua watu wengine."

-Naibu Spika Mussa Zungu.

Banking policies zinatungwa na nani?
 
Huo mshahara tunaouweka benki tayari serikali ameshachukua mgao wake. Hizo pesa ambazo benki anakata kufidia gharama za kukutunzia pesa zako, serikali itapata mgao wake. Nikitoa pesa ili nikanunue kitu, serikali ina mgao wake. Sasa huyu anaionea wivu benki ambayo inatoa huduma wakati tunalipa kodi serikalini ili ijenge hayo madarasa!

Na mbaya zaidi serikali inachukua mikopo kwa ajili ya kutoa huduma, mikopo ambayo italipwa na hao hao wananchi. Au yeye kwa sababu halipi kodi haoni maumivu ya wananchi? Kwa nini asidai yeye na wenzake wawe wanalipa kodi ili kuwapungunzia mzigo wananchi ambao ndio wanaomlipa mshahara na marupurupu mengine?

Amandla...
 
"Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].”

"Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali inayojenga madarasa ndiyo inalaumiwa. Kwa hiyo kuna kizingiti ambacho kinatengenezwa kuipiga dongo Serikali wakati pesa wanachukua watu wengine."

-Naibu Spika Mussa Zungu.
Aisee....ngoja nikae kimya....
 
Hili lizee lilitakiwa limestaafu kitambo. Lilipewa ulaji kisa tutozwe makodi.
Hovyo kabisa. Ila ndio Tanzania yetu na ujinga wetu😡😠😬
 
Mweupe kama akili yake ilivyo!
Zungu.jpg

Ndiye huyu?
 
"Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].”

"Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali inayojenga madarasa ndiyo inalaumiwa. Kwa hiyo kuna kizingiti ambacho kinatengenezwa kuipiga dongo Serikali wakati pesa wanachukua watu wengine."

-Naibu Spika Mussa Zungu.
uyu kweli hana akili japokuwa mtu mzima je pesa inayochukua benki haina vat haikatwi kodi je pesa iyo ambayo ni kodi je haijengi madarasa hawa watu wanafikiri kutumia nini hawa 😭
 
Back
Top Bottom