Be right backKwa maoni yangu mchezaji huyu wa yanga na timu ya Taifa anaweza kuwa nahodha bora kabisa kati ya waliowahi kutokea katika soka la Tanzania.Mwenye wasifu wa mchezaji huyu atuwekee hapa ikiwa ni pamoja na makombe(TROPHIES) aliyowahi kuchukua.
Kwa maoni yangu mchezaji huyu wa yanga na timu ya Taifa anaweza kuwa nahodha bora kabisa kati ya waliowahi kutokea katika soka la Tanzania.
Mwenye wasifu wa mchezaji huyu atuwekee hapa ikiwa ni pamoja na makombe(TROPHIES) aliyowahi kuchukua.
MasaUmri unamtupa mkono sasa! Nguvu zaidi uwanjani akili kidogo....Siwezi mlinganisha na Ahmad Amasha, David Mwakalebela, Ken Mkapa, Yusuf Bana enzi zao