Je, Mayele anatumika kama Agent Provocateur?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Mkufunzi wangu wa shule flani alipata kunijuza maana ya Agent Provocateur kwa kifupi hawa ni watu wanaoweza kuwa nje au ndani ya mfumo na wanatumika kuzima hot issues flani ambazo sizo rafiki kwa wakati huo kwa lengo la kufanya watu kutoelewana.

Kwanini Mayele

Ukiangalia mwezi huu Yanga walikua na mambo mazuri mengi sana japokua hata mabaya nayo yalikuwepo, baadhi ya mambo mazuri kwa Yanga ni kama vile.

  • Miaka 89 ya siku yao ya kuzaliwa.
  • Ahadi ya Gsm Kujenga Yanga Arena
  • Kupata ushindi kwenye gemu zao za ndani na nje.
  • Kuingia mikataba minono na Agha Khan Hospital pamoja na Benki ya Nmb ile ishu yao ya kadi ya milioni 1.

Ukiangalia hayo yote ni mema kwa yanga kwani yanga wakitulia na kuweza kufanya hayo hakika watakua timu bora sana na haya yote yanafanywa chini ya Rais mwenye maono Eng Hersi Said.

I want to tell Yanga fans hakika mkimpoteza huyu mwamba mtarudi miaka 20 nyuma, Hersi Said anaipenda Yanga kama timu yake lakini tambueni either nje au ndani ya Yanga kuna watu hawamtaki huyu mwamba kwa misimamo yake dhabiti kwenye kuendesha timu ya Yanga kisasa.

Mayele anaweza kuwa Agent Provocateur anayetumika either na watu wa nje au ndani ya mfumo wa Yanga jiulize kwanini ashambulie viongozi ishu ni ndogo tu ukishambulia viongozi means na Rais wa Yanga yupo ndani mwake huyu jamaa ni hatari sana kwa afya ya Simba waulize kuhusu zile 5, pia kwenye mfumo wa mpira wetu jamaa ni tishio kwa kifupi wazee wa 10% hawampendi.

Mayele ameibuka kipindi Yanga ikiwa na matukio yake muhimu ya kitaifa na kimataifa kwanini hakuibuka wakati Afcon inaanza hivi kweli Mayele huyu huyu ni wa kumweka benchi Bongonda, Wisa au Cedric Bakambu jibu ni hapana.

Mayele alikuja kama mchezaji professional ila baada ya kujifunza uswahili wa Kitanzania akakosa busara na kuanza kuropoka hovyo.

Wanayanga mzidi kujipanga kwa gemu zijazo ni kawaida kwa timu kubwa kushambuliwa haya ya Mayele yasiwatoee mchezoni kabisa.
 
Klabu ya mpira wa miguu kazi yake kubwa ni kutwaa Mataji ayo mambo mengine ni upepo wa kujaribu kuwa hamisha kwenye focus.
Mbumbumbu Fc wataongea watanyamaza, viongozi wa Yanga wao wajibu kwa mafanikio ya ndani ya uwanja na nje ya uwanja iyo ndio dawa ya wapiga domo.
 
Mashabiki wa simba huku mtaani tunapewa lawama.kuwa tunamchochea mayele.mayele kasema ukweli wake.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mayele ni fala anashindwa kufunga analeta uswahili
Acheni ushamba roga roga FC.hivi ninyi mnasindwa kumuacha mchezaji aishi maisha yake mkishaachana?
Mlianza kwa Bernard Morriston,mkaja kwa Feisal.leo mpo kwa mayele hyo ni kawaida yenu.mayele kavumlilia kachokaa
 
Vipi yale majini mliyoyachoma mubashara pale south Africa yalikua ya kazi gani masta manake mlifuka nyie.
 
Harafu huyu bwana generator mnamkuza tu acheneni nae aendelee kuchonga uko Instagram akichoka atapambana kutafuta namba hapo pyramid.
 
Its ok ila mashabiki wa Yanga walikua wanaishi naye kama mwana tu jamaa akatumia hiyo nafasi vibaya, Mayele anasahau yeye sio mwajiriwa wa Yanga tena badala adili na boss wake mpya bado amebaki kudili na Yanga.
 
Mkufunzi wangu wa shule flani alipata kunijuza maana ya Agent Provocateur kwa kifupi hawa ni watu wanaoweza kuwa nje au ndani ya mfumo na wanatumika kuzima hot issues flani ambazo sizo rafiki kwa wakati huo kwa lengo la kufanya watu kutoelewana.

Kwanini Mayele

Ukiangalia mwezi huu Yanga walikua na mambo mazuri mengi sana japokua hata mabaya nayo yalikuwepo, baadhi ya mambo mazuri kwa Yanga ni kama vile.

  • Miaka 89 ya siku yao ya kuzaliwa.
  • Ahadi ya Gsm Kujenga Yanga Arena
  • Kupata ushindi kwenye gemu zao za ndani na nje.
  • Kuingia mikataba minono na Agha Khan Hospital pamoja na Benki ya Nmb ile ishu yao ya kadi ya milioni 1.

Ukiangalia hayo yote ni mema kwa yanga kwani yanga wakitulia na kuweza kufanya hayo hakika watakua timu bora sana na haya yote yanafanywa chini ya Rais mwenye maono Eng Hersi Said.

I want to tell Yanga fans hakika mkimpoteza huyu mwamba mtarudi miaka 20 nyuma, Hersi Said anaipenda Yanga kama timu yake lakini tambueni either nje au ndani ya Yanga kuna watu hawamtaki huyu mwamba kwa misimamo yake dhabiti kwenye kuendesha timu ya Yanga kisasa.

Mayele anaweza kuwa Agent Provocateur anayetumika either na watu wa nje au ndani ya mfumo wa Yanga jiulize kwanini ashambulie viongozi ishu ni ndogo tu ukishambulia viongozi means na Rais wa Yanga yupo ndani mwake huyu jamaa ni hatari sana kwa afya ya Simba waulize kuhusu zile 5, pia kwenye mfumo wa mpira wetu jamaa ni tishio kwa kifupi wazee wa 10% hawampendi.

Mayele ameibuka kipindi Yanga ikiwa na matukio yake muhimu ya kitaifa na kimataifa kwanini hakuibuka wakati Afcon inaanza hivi kweli Mayele huyu huyu ni wa kumweka benchi Bongonda, Wisa au Cedric Bakambu jibu ni hapana.

Mayele alikuja kama mchezaji professional ila baada ya kujifunza uswahili wa Kitanzania akakosa busara na kuanza kuropoka hovyo.

Wanayanga mzidi kujipanga kwa gemu zijazo ni kawaida kwa timu kubwa kushambuliwa haya ya Mayele yasiwatoee mchezoni kabisa.
Lakini Mayele si alikuwa kipenzi cha wananchi? Kwa nini atumike kama 'Agent Provocateur'? Kwa nini madai yake yasisikilizwe ila ya wananchi ndio yasikilizwe?
 
Back
Top Bottom