Said Mwamba Kizota has come back to life as Kibu Dennis and Mohamed Mwameja has come back to the pitch as Djigui Diarra

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.

Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro Kizota. Hayo si maneno yangu. Ni maneno ya Mahamoud Zubeir ( Bin Zubeir) wa Azam Tv. Kwangu huyu ni expert number moja wa mpira wa Tanzania.

Maneno ya Bin Zubeir yanaungwa mkono na Haji Manara a.k.a Shareef El Buggati a.k.a Shareef Matrophy. Maneno haya aliyataja wakati huo akiwa msemaji wa Simba.

Asilimia kubwa ya Wapenzi wa mpira wa Tanzania wanaofuatilia mpira wa Tanzania kuanzia miaka ya sabini watathibitisha kauli hii kuhusu Said Mwamba.

Said Mwamba aliyajibu kwa ufasaha maswali yote ambayo mpira wa miguu ulimuuliza. Ndio maana aliitwa Kizota.

Mwameja Mohamed Mwameja ni nani? Ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu wa Tanzania. Kwa kizazi chake na kizazi kilicho fuatia baada yake hakujawahi kutokea kipa mwenye kufanana nae.

Mwamba huyu ambae anatajwa kuwa na mapenzi makubwa sana na klabu ya Yanga tangu utoto wake (ingawa hakuwahi kuichezea/mwaka 93 alisaini Yanga ukatokea mgogoro hadi Rais Mwingi akaingilia kati) aliyezaliwq pale Mwakidila Tanga kutoka Mzee Mohamed Mwameja (Mnazi wa Yanga) alikuwa hafungiki.

Ili kumfunga Mwameja (anasema mdau mmoja wa Soka la bongo) ilibidi Abbas Gulamali atoe bahasha ndio kina Lunyamila watikise nyavu za Simba.

1. I see a lot of Said Mwamba in Kibu Dennis. It is as if Said Mwamba has come back to life as Kibu Dennis.

2. I look at Jiji Ziara ( Djugui Diarra) and see how Mwameja used to be on pitch.
 
Ukiambiwa bangi zinakudhuru ndio uwe unaelewa.

Ni matusi makubwa kumfananisha Said Mwamba Kizota na mchezaji asiyekuwa na kipaji kama Kibu Denis.

Halafu ulivyo boya kuna kipa gani duniani asiyefungwa mpaka umpe bahasha?

Kipaji cha Mwameja tayari kilishafanyiwa replacement na Juma Kaseja, Kwa sababu hujui Mpira huwezi kuelewa Kaseja amefanya nini Simba.
 
Sawa mkuu umeshinda.
3 bila.
 
Nashangaa Mkuu. Yaani huyu Kibu anayerukaruka kama kitenesi wanamfananisha na maestro Kizota? Acheni kumshushia hadhi Kizota (RIP).
 
Yani kizota umfananishe na kibu haya ni matusi aisee umemkosea sana kizota aisee
 
Usitudanganye bana, Kizota hawezi kufanana na Kibu, mfano Kizota amewahi kucheza sentahafu lakn Kibu hawezi kucheza nafasi yoyote ya nyuma, kule Morocco na Wydad karudi nyuma kusaidia kidogo tu katoa penati, Kizota alikuwa mkorofi lkn Kibu hakuwa mkorofi.Acha uongo.
 
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.

Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro Kizota. Hayo si maneno yangu. Ni maneno ya Mahamoud Zubeir ( Bin Zubeir) wa Azam Tv. Kwangu huyu ni expert number moja wa mpira wa Tanzania.

Maneno ya Bin Zubeir yanaungwa mkono na Haji Manara a.k.a Shareef El Buggati a.k.a Shareef Matrophy. Maneno haya aliyataja wakati huo akiwa msemaji wa Simba.

Asilimia kubwa ya Wapenzi wa mpira wa Tanzania wanaofuatilia mpira wa Tanzania kuanzia miaka ya sabini watathibitisha kauli hii kuhusu Said Mwamba.

Said Mwamba aliyajibu kwa ufasaha maswali yote ambayo mpira wa miguu ulimuuliza. Ndio maana aliitwa Kizota.

Mwameja Mohamed Mwameja ni nani? Ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu wa Tanzania. Kwa kizazi chake na kizazi kilicho fuatia baada yake hakujawahi kutokea kipa mwenye kufanana nae.

Mwamba huyu ambae anatajwa kuwa na mapenzi makubwa sana na klabu ya Yanga tangu utoto wake ( ingawa hakuwahi kuichezea/mwaka 93 alisaini Yanga ukatokea mgogoro hadi Rais Mwingi akaingilia kati) aliyezaliwq pale Mwakidila Tanga kutoka Mzee Mohamed Mwameja ( Mnazi wa Yanga) alikuwa hafungiki.

Ili kumfunga Mwameja ( anasema mdau mmoja wa Soka la bongo) ilibidi Abbas Gulamali atoe bahasha ndio kina Lunyamila watikise nyavu za Simba.

1. I see a lot of Said Mwamba in Kibu Dennis. It is as if Said Mwamba has come back to life as Kibu Dennis.

2. I look at Jiji Ziara ( Djugui Diarra) and see how Mwameja used to be on pitch.
Dah! Unasikitisha sana.... hakika wewe ni mmoja wa wale, ambao Ndg, Rage alikuwa akiwazungumzia umbumbumbuni Fc

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wa Ndunduka wanaongoza kwa utaahira, huyo Kibu hata kutuliza mpira hawezi, msimu mzima huwa hafikishi hata goli au assist tano
 
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.

Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro Kizota. Hayo si maneno yangu. Ni maneno ya Mahamoud Zubeir ( Bin Zubeir) wa Azam Tv. Kwangu huyu ni expert number moja wa mpira wa Tanzania.

Maneno ya Bin Zubeir yanaungwa mkono na Haji Manara a.k.a Shareef El Buggati a.k.a Shareef Matrophy. Maneno haya aliyataja wakati huo akiwa msemaji wa Simba.

Asilimia kubwa ya Wapenzi wa mpira wa Tanzania wanaofuatilia mpira wa Tanzania kuanzia miaka ya sabini watathibitisha kauli hii kuhusu Said Mwamba.

Said Mwamba aliyajibu kwa ufasaha maswali yote ambayo mpira wa miguu ulimuuliza. Ndio maana aliitwa Kizota.

Mwameja Mohamed Mwameja ni nani? Ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu wa Tanzania. Kwa kizazi chake na kizazi kilicho fuatia baada yake hakujawahi kutokea kipa mwenye kufanana nae.

Mwamba huyu ambae anatajwa kuwa na mapenzi makubwa sana na klabu ya Yanga tangu utoto wake ( ingawa hakuwahi kuichezea/mwaka 93 alisaini Yanga ukatokea mgogoro hadi Rais Mwingi akaingilia kati) aliyezaliwq pale Mwakidila Tanga kutoka Mzee Mohamed Mwameja ( Mnazi wa Yanga) alikuwa hafungiki.

Ili kumfunga Mwameja ( anasema mdau mmoja wa Soka la bongo) ilibidi Abbas Gulamali atoe bahasha ndio kina Lunyamila watikise nyavu za Simba.

1. I see a lot of Said Mwamba in Kibu Dennis. It is as if Said Mwamba has come back to life as Kibu Dennis.

2. I look at Jiji Ziara ( Djugui Diarra) and see how Mwameja used to be on pitch.
Kizota was a complete player, tall, tough ana control, mnyumbulifu na anacheza forward, mido na center half kwa ufasaha. Ukija mchezo wa kihuni (enzi hizo) ndo usiseme. Ulinganishe na Kibu.
 
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.

Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania ambae ndio bora kabisa kuliko wachezaji wote basi kwa haraka sana nitamtaja Said Mwamba Nassoro Kizota. Hayo si maneno yangu. Ni maneno ya Mahamoud Zubeir ( Bin Zubeir) wa Azam Tv. Kwangu huyu ni expert number moja wa mpira wa Tanzania.

Maneno ya Bin Zubeir yanaungwa mkono na Haji Manara a.k.a Shareef El Buggati a.k.a Shareef Matrophy. Maneno haya aliyataja wakati huo akiwa msemaji wa Simba.

Asilimia kubwa ya Wapenzi wa mpira wa Tanzania wanaofuatilia mpira wa Tanzania kuanzia miaka ya sabini watathibitisha kauli hii kuhusu Said Mwamba.

Said Mwamba aliyajibu kwa ufasaha maswali yote ambayo mpira wa miguu ulimuuliza. Ndio maana aliitwa Kizota.

Mwameja Mohamed Mwameja ni nani? Ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu wa Tanzania. Kwa kizazi chake na kizazi kilicho fuatia baada yake hakujawahi kutokea kipa mwenye kufanana nae.

Mwamba huyu ambae anatajwa kuwa na mapenzi makubwa sana na klabu ya Yanga tangu utoto wake ( ingawa hakuwahi kuichezea/mwaka 93 alisaini Yanga ukatokea mgogoro hadi Rais Mwingi akaingilia kati) aliyezaliwq pale Mwakidila Tanga kutoka Mzee Mohamed Mwameja ( Mnazi wa Yanga) alikuwa hafungiki.

Ili kumfunga Mwameja ( anasema mdau mmoja wa Soka la bongo) ilibidi Abbas Gulamali atoe bahasha ndio kina Lunyamila watikise nyavu za Simba.

1. I see a lot of Said Mwamba in Kibu Dennis. It is as if Said Mwamba has come back to life as Kibu Dennis.

2. I look at Jiji Ziara ( Djugui Diarra) and see how Mwameja used to be on pitch.
I prefer not to speak, If I speak I will be in trouble - Jose Mourinho
 
IMG_5135.jpg

Uzi bila picha haunogi.!
 
Ukiambiwa bangi zinakudhuru ndio uwe unaelewa.

Ni matusi makubwa kumfananisha Said Mwamba Kizota na mchezaji asiyekuwa na kipaji kama Kibu Denis.

Halafu ulivyo boya kuna kipa gani duniani asiyefungwa mpaka umpe bahasha?

Kipaji cha Mwameja tayari kilishafanyiwa replacement na Juma Kaseja, Kwa sababu hujui Mpira huwezi kuelewa Kaseja amefanya nini Simba.
Hahahahaha, nakumbuka jamaa alisema anajitoa JF y,Yanga isipofunga Goli mbili kule Algeria, nashangaa bado yuko JF
 
Back
Top Bottom