Nahitaji ushauri wenu zaidi juu ya hili - Kama ni ndoa basi imejibu

Atapanga kwingine na kuendelea na tabia hiyo hiyo. Pamoja na kipigo, angefikishwa vyombo husika.
 
Toka tulivyoanza kumuwinda binti alikuwa akitembea na kipenga, hali kadhalika mlinzi pia kama kawaida yake, basi jamaa akamwita binti chumbani kwa madai kuwa amtolee nguo ya kuvaa kabatini, ile binti anaingia chumbani akamkuta jamaa yuko kama alivyozaliwa na mguu wa 3 ukiwa unataka salam, binti hakushtuka kwani alikuwa na kipenga chake. Alisogea kwenye kabati ili atoe nguo jamaa likamfata na kupandisha sketi ya binti, ndipo kukurukakara zilipoanza binti akashindwa kujinasua maana ni pande la baba na limeenda hewani. Dada wa watu akiwa ktk purukushani hizo alifanikiwa kuipata filimbi yake ile kupuliza tu na mlinzi akapokea, majirani nao kwa vile walikuwa wameshapewa taarifa walivamia ndani na kuanza kumpa kipingo cha mbwa mwizi. Baada ya hapo jamaa alipotea kama wiki hivi alivyorudi alikuja kuhamisha vitu vyake tu. Kifupi ndo ilikuwa hivo mkuu.
DAH, HONGERA SAANA umefanya kazi nzuri na Mungu atakulipa.
 
TaiJike,Hii story ulivyoanza na hii tiotle yako nilijua inshu tofauti kabisa!Mwenzako eti nilidhani ndoa imejibu kwa maana huyo neiba wako unamzimia halafu usiku labda unaingiagiaga kwake unalala mpaka morning!!!
 
TaiJike,Hii story ulivyoanza na hii tiotle yako nilijua inshu tofauti kabisa!Mwenzako eti nilidhani ndoa imejibu kwa maana huyo neiba wako unamzimia halafu usiku labda unaingiagiaga kwake unalala mpaka morning!!!

lol......nilidhani hizi....balaaaa
 
Kumuwekea mtego ndio nini sasa? Kama hujaolewa,siumpe walau mara moja moja tu kumuondolea tabu zote hizo?
 
Back
Top Bottom