Nahitaji mwanamke wa kumlipa anizalie mtoto kwa mkataba.

Kidotulotokordwak

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
286
43
Polen na majukumu ya kila siku
mimi ni kijana wa miaka 23 na bado nipo kimasomo katika chuo flani cha elimu ya juu ila nahitaji kuwa na mtoto m1 na hii nikutokana na shinikizo la mama kuniambia anahitaj mtoto kutoka kwangu kabla hajafa kwa kuwa mimi ndo mtoto wake wa pekee wakiume,hivyo kwa kumridhisha mama nikaona nitafute mwanamke atakayenizalia huyo mtoto kwasababu mchumba niliyekua naye na yeye ni mwanafunzi mwenzangu na amekataa kubeba mimba mpaka amalize masomo na ndo kwanza kaanza mwaka huu masomo ya udactar yatakayochukua miaka 5 na huu muda siwez kuusubiri,tuliposhindwa kuelewana ikabidi tusitishe mahusiano na kubaki kama marafiki tu though hakuwa tayar na ameridhia nitafute mwanamke atakaekubal kubeba mimba
MASHARTI YA MKATABA
1.nitakuwa tayar kupima HIV na yeye awe tayar
2.tutakubaliana kiasi nitakacho mlipa
3.tutakubaliana muda atakao kaa na mtoto baada ya kujifungua
4.ni lazima kupima DNA mtoto atakapozaliwa kudhibitisha uhalal wa mtoto
5.kama huyo binti atakuwa tayar kuish na mimi baada ya kujifungua kama mzaz mwenzie(baada ya mimi kumaliza masomo yangu)itaruhusiwa na mkataba utaeleza
6.Nitaudumia ujauzito kwanzia mwez wa kwanza mpaka ntakapomchukua mtoto
7.Atakua na uhuru wa kuja kumsalimia mtoto wakati wote
SIFA ZA MWANAMKE HUYO
1.Asiwe mke wa mtu
2.Awe na umri kuanzia miaka 18 - 25
3.Awe mweupe au maji ya kunde na asiwe mwembamba sana
kama upo tayar ni pm tuwasiliane
4.Kielimu awe amemaliza at least form 4
5.Asiwe mlevi na mvuta sigara
6.Awe hajawahi kuwa na toto hapo kabla
NOTE:
MKATABA UTAKUA KATI YA MIMI NA YEYE NA UTALINDA HAKI ZA KILA MMOJA.
Nipo serious
Pia unaweza ukaniuliza swali lolote au kunishauri
NAWASILISHA
 
Mchumba amekubaliana na hilo au mnaachana?
Huyo bussines partner wako atarajie msaada gani toka kwako kipindi cha ujauzito? Hapo simaanishi kifedha. . .namaanisha kumletea letea vitu anavyotamani kula/kunywa, uwepo wako na pole za kutosha ikiwa hako kaujauzito katakuja na complication, kumpatia msaada wa kazi zake za siku zote ikiwa hatotakiwa kufanya, kumtimizia mahitaji yake kimwili kama mimba itapelekea yeye kupenda sana tendo la ndo n.k

Kwa kifupi ni hivi. . . .UTAKUWEPO? Au unadunga tu mimba na kuacha ijilee mpaka iwe mtoto?
 
ndo hivyo na nahitaji awe na furaha wakat wote coz yeye ndo amenisomesha and all of the above

wakati mwingine si kila tunalosema wazazi ni sahihi!hiyo ni furaha yake yeye!furaha yako ni ipi?uko tayari kuachana na furaha yako kwa ajili ya mama yako!namuonea huruma mwanamke atakayeolewa na wewe!
 
sasa mkataba mbona siuoni?. Je mama anajuaje kama una kizazi? huko ulikopita hujapata mtoto hata wa kusingizizwa?. mia
 
Mchumba amekubaliana na hilo au mnaachana?
Huyo bussines partner wako atarajie msaada gani toka kwako kipindi cha ujauzito? Hapo simaanishi kifedha. . .namaanisha kumletea letea vitu anavyotamani kula/kunywa, uwepo wako na pole za kutosha ikiwa hako kaujauzito katakuja na complication, kumpatia msaada wa kazi zake za siku zote ikiwa hatotakiwa kufanya, kumtimizia mahitaji yake kimwili kama mimba itapelekea yeye kupenda sana tendo la ndo n.k

Kwa kifupi ni hivi. . . .UTAKUWEPO? Au unadunga tu mimba na kuacha ijilee mpaka iwe mtoto?

Maswali ya msingi haya....halafu je mkinogewa upo tayari kuextend contract toka temporary to permanent?? Put it differently.... is the contract renewable??

off the topic.....Happy to see u again....
 
enh bana aseme kabisa kwenye mkataba si baadae mtu anataka dushelele usiku wa maneno au miguu ya kuku ya kuchemsha ye aseme mama kakataza!
 
Mchumba amekubaliana na hilo au mnaachana?
Huyo bussines partner wako atarajie msaada gani toka kwako kipindi cha ujauzito? Hapo simaanishi kifedha. . .namaanisha kumletea letea vitu anavyotamani kula/kunywa, uwepo wako na pole za kutosha ikiwa hako kaujauzito katakuja na complication, kumpatia msaada wa kazi zake za siku zote ikiwa hatotakiwa kufanya, kumtimizia mahitaji yake kimwili kama mimba itapelekea yeye kupenda sana tendo la ndo n.k

Kwa kifupi ni hivi. . . .UTAKUWEPO? Au unadunga tu mimba na kuacha ijilee mpaka iwe mtoto?

kama umesoma maelezo vizur nimeandika
1.nitaihudumia hiyo mimba mpaka wakati nitakapo mchukua mtoto baada ya kumaliza kunyonya
2.mwanamke nitamhudumia mahitaj yanayoendana na ujauzito wangu
3.kuhusu uwepo wangu inategemea huyo mwanamke atakua mkoa gan coz mda mrefu nipo chuo na field
 
wakati mwingine si kila tunalosema wazazi ni sahihi!hiyo ni furaha yake yeye!furaha yako ni ipi?uko tayari kuachana na furaha yako kwa ajili ya mama yako!namuonea huruma mwanamke atakayeolewa na wewe!

mama yangu ndo kila kitu furaha yangu ipo coz hata mimi mwenyewe nahitaji mtoto na hapa sitafuti mke natafuta mtu atakaekubal kusain mkataba ila kama atakua tayar kua mke ni hisia zetu zitazungumza
 
Wewe una pepo nini? who are you by the way! umchezee mtoto aliyekuzwa na wazazi walezi yaani kwanza una tabia mbaya una umimi,una hela? hujasema utamlipa dola ngapi, ukienda kwa gia hiyo labda nikushauri uwende kwa matahaira,kwa mtu ambaye yuko smart hakubali ng'o! simaanishi smart ya mwingereza msafi mtanashati,namaanisha smart ya mmarekani yaani mtu mwenye akili,critical thinking! afu mwambie huyo mama etu huu si wakati wa ujima!
 
sasa mkataba mbona siuoni?. Je mama anajuaje kama una kizazi? huko ulikopita hujapata mtoto hata wa kusingizizwa?. mia

1.mkataba utauona pale utakapokuwa tayar,kama upo tayar ni pm
2.kuhusu kizaz tutapima hosp uwezo wa mbegu zangu kabla
3.mimi siyo muhuni kwa hiyo sijatembea na wanawake weng zaid ya huyo aliyeko mwaka wa kwanza chuo cha afya Muhimbili
 
Maswali ya msingi haya....halafu je mkinogewa upo tayari kuextend contract toka temporary to permanent?? Put it differently.... is the contract renewable??

off the topic.....Happy to see u again....

yes,the contract is renewable
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom