Nahitaji msaada wenu

guilty conscience may be!?? N u r not yet married..mpaka 33, unagawa bado unasubiria ku-enjoy!?????????????????????????????

asante rafiki kwa ushauri wako. Siyo kwamba nagawa au labda nafanyeje ni mtu ambaye nami nimejiheshimu sana. Of course nilikuwa na bf na kwa sasa hayupo nchini na mawasiliano hatuna. Hili imebidi niulize kutokana na kusikia story nyingi toka kwa wasichana/wanawake wenzangu wanavyoelezea hiyo raha nami sijawahi hata siku moja kuipata. Ikabidi niulize na nisingeweza kusema niko single najua watu wangeshangaa huyu anaomba ushauri wakati yuko single? Hope umenielewa.
 
Au uckute jamaa yake "BUNDUKI HAIMTOSHI"

Kwa kweli hata mimi nilikuwa nawaza hivyo, ukute huyo sweetheart nanihi yake ni ndogo sana, na kwa sabau mdada huyo ndio mwanaume pekee aliyewahi kumjua atakuwa anadhani ni saizi ya kawaida. Kwa sababu mtu uwe na mahamu 100% halafu kitu kiingie usisikie kitu kweli, hata maumivu basi kama sio raha, ila samahani kwa kushindwa kukupa ushauri dada.
 
bunduki ndogo kwani unataka kuua tembo? Mi ninachoona dada yangu una matatizo ya kisaikologia na tendo la ndoa ni hisia zaidi, unapokua na wandani wako inabidi usiwe na mawazo mengine kabisa yote yawe pale na jiwekee imani ya kupata raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom