Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
Sitaki aoe na sitaki atafute Mtoto.
Mtu mzima hovyo, sijawahi kuona mtu mbinafsi kama wewe na kama haya ndiyo mambo yako subiri vijana watakuchezea baada ya miaka kadhaa wanaondoka na kuoa wake zao. Si utulie au mwombe Mungu urudiane na mumeo? Wewe unatamani maisha ya uzinzi tu.
 
................................. Njoo ufanyiwe maombiiiiiiii .... njoo uombeweee..... njoo ufanyiwe maombi..... tatizo la kidogo hilo.... njoo ufanyiwe maombiii njooo... uombewe............
 
Mtu mzima hovyo, sijawahi kuona mtu mbinafsi kama wewe na kama haya ndiyo mambo yako subiri vijana watakuchezea baada ya miaka kadhaa wanaondoka na kuoa wake zao. Si utulie au mwombe Mungu urudiane na mumeo? Wewe unatamani maisha ya uzinzi tu.
Wacha kupayuka, usiingie JF kichwa kichwa, huyo anaweza hata akawa ni Mwanaume. soma post ya Zomba hapo juu.
 
naoka huyu mtu anatatizo sio bure halafu anataka kucheza na akili za watu ukijua wote niwendawazimu kama wewe halafu ukiwa mwongo basi uwe nakumbukumbu kuna uvi aliweka hapa july kuna unatafuta ukatitilika kweli sifa unae mtaka sasa leo unajifanya unakuja kivingine unajua hapa facebook kwenye watoto wengi huu ni uwanja wa great thinker ebu toa upuuzi wako. Usiweke thread ionekane eti nawewe ulipost kama huna cha kuandika kaa kimya wengine mnaweza kuwa wasomaji kuliko kupost utumbo
 
Mtu mzima hovyo, sijawahi kuona mtu mbinafsi kama wewe na kama haya ndiyo mambo yako subiri vijana watakuchezea baada ya miaka kadhaa wanaondoka na kuoa wake zao. Si utulie au mwombe Mungu urudiane na mumeo? Wewe unatamani maisha ya uzinzi tu.

Kweli mkuu natafuta.
 
jamani si utakuwa BIBI YAKE...
mm namiaka 25, mama yangu ajafka 50!
Duh sijawai ona! Najua utawapata
 
Mtu mzima hovyo, sijawahi kuona mtu mbinafsi kama wewe na kama haya ndiyo mambo yako subiri vijana watakuchezea baada ya miaka kadhaa wanaondoka na kuoa wake zao. Si utulie au mwombe Mungu urudiane na mumeo? Wewe unatamani maisha ya uzinzi tu.

Basi niletee baba yako anioe.
 
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.

NINA VIGEZO NIMEKUTUMIA MSG ANGALIA INBOX TUWASILIANE!! Achana na hao washamba wanazingua hapa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom