Kwa anajua kutengeneza website nzuri.afanye na hosting with affordable price, good quality, dynamism and simple to use and maintain.

500,000 Tsh website kama hii Welcome to Interzepha Tanzania Limited ifungue kwa mozzila firefox
contact 0713943995
mpaka hapo ishajidisqualify kwanini ufungulie browser moja tu na sio zote think twice man..
wewe wasema, fyi huwa natumia mda wangu wa ziada kudesign web sio kama ndio kazi yaani najifurahisha upo?
Kama wewe ndio kazi basi hata nusu yangu ya kutengeneza web haujafikia.......... unabisha?

Mkuu hata kama unafanya kwa kujifurahisha iweje umpangie mtumiaji browser ya kutumia? Inabidi uhakikishe anaweza kutumia browser yoyote....
Mtu anakupa ushauri unamwambia ata nusu yako yakutengeneza web hajafikia.... nilivyochunguza iyo website yenyewe ulichofanya ni kuedit template ya joomla ambayo ipo, napo utajihesabu unatengeneza website...
But all in all, website nzuri inatakiwa atleast iweze kufunguka vizuri kwa major browsers
Kwa anajua kutengeneza website nzuri.afanye na hosting with affordable price, good quality, dynamism and simple to use and maintain.
Kaka tuwasiliane juu ya publish kwa +255767540149jaribu hapa man... Create a free website in minutes