Kaka tuwasiliane juu ya publish kwa +255767540149
Mi naona ifike wakati jukwaa hili tukubaliane katika hili, kwa sababu inaniwia vigumu kwamba kuna kampuni hapa dar wanatengeneza web bei ya chini laki nne na juu mpaka mil 2.5, sasa inapotokea mtu anasema ana-design website bure! hilo ndilo nashindwa kulielewa, naombeni ufafanuzi wenu tafadhari.

hiyo inawezekana kabisa hapo ndo utajua It can never be a full professional.i have my cousin std 6 inaweza kudesign web kwa namna ya ajabu,,ametengeneza web ya hotel yao you will never believe so mtu akisema anatengeneza bure to me is not a suprize
Kwa Tanzania watu huangalia tu sura ya website. Kuna zaidi ya hapo kunwa vitu kamaMi naona ifike wakati jukwaa hili tukubaliane katika hili, kwa sababu inaniwia vigumu kwamba kuna kampuni hapa dar wanatengeneza web bei ya chini laki nne na juu mpaka mil 2.5, sasa inapotokea mtu anasema ana-design website bure! hilo ndilo nashindwa kulielewa, naombeni ufafanuzi wenu tafadhari.
It can never be profession? Kwani mbona mi naweza kuamua kesi na bado Law is a profession?hiyo inawezekana kabisa hapo ndo utajua It can never be a full professional.i have my cousin std 6 inaweza kudesign web kwa namna ya ajabu,,ametengeneza web ya hotel yao you will never believe so mtu akisema anatengeneza bure to me is not a suprize
It can never be profession? Kwani mbona mi naweza kuamua kesi na bado Law is a profession?
Joking? Kwa taarifa tu kuandika markup na kukopi code toka web tutorials na kuziunga unga ni rahisi...kufanya kitu serious ndio issue
......And it is a profession!
hiyo inawezekana kabisa hapo ndo utajua It can never be a full professional.i have my cousin std 6 inaweza kudesign web kwa namna ya ajabu,,ametengeneza web ya hotel yao you will never believe so mtu akisema anatengeneza bure to me is not a suprize
Hivi mtu kudesign and kuandika Mtandao kwa laki 1 unapata faida gani ati? Naomba msaada!