Hebu niambie kwanza wewe uko wapi alafu nitakuambia kama ndipo nilipo au lah
Switzerland
Hebu niambie kwanza wewe uko wapi alafu nitakuambia kama ndipo nilipo au lah
Switzerland
Asante mimi nipo mpindimbi Masasi huku mkoani Mtwara
Am sorry
Hahahaha ulijua niko USA eeehhh habari ndo hyo mpendwa
Hapo umeniweza, hakuna correlation kabisa
Me mpori original.....kama utakubali kupewa company na mporipori powaaaaaaa kama unataka born town aka wa kwa malkia au kwa obama powa pia
Nitumie email yako kwa kunipm, mie nipo Dar ili nikupokee kabisa
Nilidhani its just normal company yaani kubadilishana mawazo (sasa hata hio mpaka CV) hwell:Aka utaninyanyapaa wewe sikutaki, we wako wa kwa obama na malkia
Nilidhani its just normal company yaani kubadilishana mawazo (sasa hata hio mpaka CV) hwell:
Okay ila na wewe ni mbaguzi.., unabagua wabaguzi..Fwatilia mjadala huko juu ulikoanzia, ndugu huyu mtu alipojua mie natokea mpendimbi basi akasema hana tym na wa mpindimbi, hata kama ni kampani ya kawaida nahitaji mtu ambae hana ubaguzi kwa misingi ya kijiografia, kidini, kirangi nk. mtu kama huyu hata kwa urafiki wa kawaida hanifai bwana
Karibu ukifika dar utanipata point yangu ni East 0789,N0098
Aka utaninyanyapaa wewe sikutaki, we wako wa kwa obama na malkia
Kakojol**ewe ulale
Aka utaninyanyapaa wewe sikutaki, we wako wa kwa obama na malkia
duh mrembo, hii ni chenga ya mwili, tik-tak au goli la kisigino best...
mtungi..a.k.a ze kiki unapanda..uko tayari kuchangia gharama?