cartura
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,026
- 788
. best uko dsm au?
yeap, location: bongo
. best uko dsm au?
Ha ha haa, I can be anywhere si unajua tena dunia ishakuwa kijiji ?, Sembuse Tanzania moja.. Kwa dakika hii nipo latitude na longitude ila kesho sijui takuwa wapi labda huko ulipo3° 22' 0" S / 36° 41' 0" E
inausika sana.....usije ukawa mpelelezi wa jamii forum
yeap, location: bongo
Ha ha ha haa Nice One Mkuu..kumbe wewe ni lubani?
Kama hujapata sehemu ya kufikia usijali, nitakupokea kwa mikono miwili.
Wla hilo sahau....me nahitaji tu kupata marafiki wa ukweeli kutoka JF ili hata cku likintokea la kutokea waweze kutoa taarifa bana, kuwa na marafiki magreit sinka na wewe unakuwa greit sinka
Interesting . . . .
Koko bichi panahusu kumbe, ngoja nicheck time table yangu kwanza.
mi nakukaribisha kwangu...kigamboni mikadi beach..ukichoka kukaa beach basi tunaenda kupumzika kwangu..i cook well btw..karibu!
Hahahahaha JF bwana haya kaka/dada
Ha ha haa, I can be anywhere si unajua tena dunia ishakuwa kijiji ?, Sembuse Tanzania moja.. Kwa dakika hii nipo latitude na longitude ila kesho sijui takuwa wapi labda huko ulipo[h=3]3° 22' 0" S / 36° 41' 0" E[/h]
Kongosho COCo ndo mitaa yako nini??
Best nkitua tu hapo lazima nkutafute....ila mhh naogopa coz hukauki mitaa ile
Lat 3 ni usawa wa shy/nzega, long ni usawa wa pwani.
Utakuwa mkoa wa Tanga au Pwani.
nahitaji tu kupata marafiki wa ukweeli kutoka JF ili hata cku likintokea la kutokea waweze kutoa taarifa bana