Nahitaji kampani yako

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
7,484
5,142
Habari ya jioni wana MMU?, poleni kwa majukumu ya siku ya leo. Natarajia kuwa Dar ea salaam mwezi ujao.....so naomba kwa walio available na wanaoishi DSM wanipe kampani tu-hang out na kuenjoy life na kubadilishana mawazo....kumbuka maisha ni mafupi mno so leo ndio yako...ifurahie..,

Note: Jinsia zote ni poa tu kwangu
 
Uliyeuliza kuhusu kuolewa: sidhani kama hilo ni la muhimu sana so liache wazi

Kuhusu umri: hata hili sidhani kama lina shida kwani swala hapa ni kampani tu, ina maana wewe ili uwe karibu au umpokee mgeni ni lazima awe na umri fulani?okay...umri wangu unarange from 25-28 saa hapo utachanganua mwenyewe

In short sibagui yeyote atakayejiskia kunipa kampani kama rafiki kwangu mie itakuwa sawa tu, nitafurahi kama mkiwa wengi na mchanganyiko wadada na wakaka......
cartura best uko dsm au?
 
Last edited by a moderator:
unatokea wapi, huenda nipo huko utokako tuanze kupeana company huku
:thinking:
 
Unapendelea ku-hang out maeneo gani?

Mimi sipendi kukaa maeneo yenye kelele may be ninapokuwa disco tu,kama ni bar basi wasiwe wanapiga mziki kwa sauti kubwa,, beach, na maeneomengine tulivu na yenye upepo mwanana
 
Uliyeuliza kuhusu kuolewa: sidhani kama hilo ni la muhimu sana so liache wazi

Kuhusu umri: hata hili sidhani kama lina shida kwani swala hapa ni kampani tu, ina maana wewe ili uwe karibu au umpokee mgeni ni lazima awe na umri fulani?okay...umri wangu unarange from 25-28 saa hapo utachanganua mwenyewe

In short sibagui yeyote atakayejiskia kunipa kampani kama rafiki kwangu mie itakuwa sawa tu, nitafurahi kama mkiwa wengi na mchanganyiko wadada na wakaka......
cartura best uko dsm au?

Ahsante kwa kujali kujibu, nazani umli wako ni wakawaida sana. bali karibu sana......Unge weka Sim No. yako tuweze kuwai ubungo tukupokea.
 
Hebu niambie kwanza wewe uko wapi alafu nitakuambia kama ndipo nilipo au lah

Ha ha haa, I can be anywhere si unajua tena dunia ishakuwa kijiji ?, Sembuse Tanzania moja.. Kwa dakika hii nipo latitude na longitude ila kesho sijui takuwa wapi labda huko ulipo[h=3]3° 22' 0" S / 36° 41' 0" E[/h]
 
Ha ha haa, I can be anywhere si unajua tena dunia ishakuwa kijiji ?, Sembuse Tanzania moja.. Kwa dakika hii nipo latitude na longitude ila kesho sijui takuwa wapi labda huko ulipo3° 22' 0" S / 36° 41' 0" E

Kwa kweli somo la jiografia mhhh limenikaa upande hehehe haya bana.......
 
Back
Top Bottom