Nahitaji huu uzi nimpate mtu anaemiliki kuanzia 500m kuna experience nahitaji kushare nae!

Mie hata smartphone tu sina ila kitochi cha itel. Kumbe jf kuna matajiri aise
 
Na kuamini,Kuna Mtu namjua ni member humu sidhani hata kama 500 imefika ila yupo vizuri kibiashara yaani kukuta humu comment yake ni baada ya miezi SITA...ila sie kina nikopeshe aftatu Sasa🤣🤣🤣🤣
90% ya mabossi naojuana nao [wafanyabiashara au mawakili sio waajiriwa] hawatumii JF, hata izo social networks zingine kama Facebook zipo tu kwenye simu kama pambo hawazifungui maana simu zenyewe wanazotumia ni izo tecno sijui infinix au Samsung za bei ndogo unakuta zina matatizo chungu nzima 😅
They're very very occupied
 
Sure,hata si uongo...yaani kabisa tajiri umwambie njoo PM?🤣🤣🤣🤣🤣hata PM yenyewe haijui ni nini maskini ya Mungu
 
Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na makasiriko kwenye post za watu, na wapo wengine waliojaliwa wanaojijua ni wawekezaji wakubwa na matajiri ambao wana experience na pesa na wanaojua uwekezaji mkubwa,

Shida yangu nahitaji mtu mmoja asiwe mtumishi wa serikali ila awe mfanyabiashara ambae amewekeza zaidi ya 500m, Hapa namaanisha nahitaji mtu mwenye exposure kubwa katika Biashara ya pesa ndefu,

Nimeshindwa kuandika hapa lengo la post yangu kwa kuwa naamini wapo watu wengi humu wengine hawajui wanachokitafta katika maisha yao na wengine hulka yao ni kukejeli na ku dispoint kila mtu ambae wao kwa mtazamo yao wanaona ana wazo tofauti na wao au ana mtazamo tofauti na wao,

Namkarbisha PM kwa moyo mkunjufu kabisa ila kama unajua hii haikuhusu na hauna vigezo tafadhari sana achana na post yangu. Fanya kama hujaiona.
Ukikosa kabisa nitafute PM.
 
If at all you are serious.

Nenda kwenye mikutano ya wafanyabiashara. Nenda kwenye Chambers of Commerce za sehemu mbalimbali kama Dar es salaam Chamber of Commerce. Tafuta access na watu wa CEO Roundtable, mikutano ya TIC na mikutano kama hiyo ya wafanyabiashara na wawekezaji.

Lakini pia, inawezekana unafanya logical fallacy ya proximity ya ku assume kuwa mtu mwenye hela na aliyefanya uwekezaji ndiye anaelewa zaidi hayo mambo.

Mimi nimefanya kazi na professional financial advisors ambao wengine (hususan waliokuwa wanaanza)hawakuwa na hela kubwa sana, ila walijua wapi pa kuweka hela na waliwashauri matajiri wakubwa jinsi ya kuwekeza kwenye markets.

Speaking of that, inawezekana ukahitaji msaada wa professional financial advisor akushauri jinsi ya kuwekeza, umlipe kabisa. Sijui uko wapi na kama bongo wapo, ila, kama unataka kwenda na falsafa yako wa kupata ushauri wa watu wenye uzoefu inawezekana ukahitaji kutumia pesa ili kupata pesa na kuwalipa professional financial advisors wenye uzoefu.

Mnaandikiana mikataba ya kisheria kabisa inayopitiwa na wanasheria wako, anakupa ushauri wapi pa kuwekeza, uwekeze vipi, upunguze vipi kodi kisheria, uongeze vipi faida, etc.

Pengine kupata ushauri wa mtu tu bila mikataba hivyo - mwenye uzoefu au asiye na uziefu- unaweza kualika kutapeliwa.

Cc Waterbender
Huyu ana sereous illnesse...anataka sifa.

Unafikiri ajui?

Unafikiri ajui kama Jamii Forum 80% wana pretend maisha humu?

Ila mtoa uzi anataka sifa za kijinga.

Full idiot
 
Huyu ana sereous illnesse...anataka sifa.

Unafikiri ajui?

Unafikiri ajui kama Jamii Forum 80% wana pretend maisha humu?

Ila mtoa uzi anataka sifa za kijinga.

Full idiot

Kama hana hizo hela -kitu ambacho hatujahakikisha bado - angeweka wazi tu kwamba this is an abstract exercise.

Ikiwa hivyo, mpe maksi zake hata kwa kuota vizuri tu mkuu.

Ujue mtu akianza kuota kushika hela na kuangalia jinsi ya kuzitumia, siku akipata angalau atakuwa na idea nini cha kufanya.

Mimi napenda mambo ya urban planning, mara nyingine huwa nafikiria tu ningekuwa na uwezo wa kujenga mji from scratch ningefanya nini, ningechagua wapi, ningetumia nishati gani ya kisasa, matatizo ya uharibifu wa mazingira ningeyaepuka vipi, ningehakikisha vipi matumizi mazuri ya ardhi, usafiri wa pamoja ningeuboresha vipi, viwanja vya michezo na parks ningeweka vipi, ningehamasisha vipi uendeshaji wa baiskeli na kuweka njia za baiskeli barabarani, ningebalance vipi ujengaji wa maghorofa ili kutumia ardhi vizuri na kuepuka matatizo ya population density, ningevutia vipi watu waje, mambo ya utamaduni na makumbusho ningeyaweka vipi, ningefanya vipi ili mji ujitosheleze kwa chakula bila kutoa chakula mbali, mambo meengi kama hayo.

Kama mental exercise tu kufikiria kitu ninachopenda.

Hilo halimaanishi nitajenga hata kijiji.
 
Sahihi umesema kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom