Waungwana naomba msaada wenu ili niweze kupata mawasiliano na taasisi inayofanya tafiti juu ya "BRAIN & HUMAN MIND". Niko interest sana na hayo mambo husika.
Binafsi nimesoma Electronics & Communication Engineering lakini nilitokea kupenda sana biology tangu nikiwa mdogo sana lakini kwa sababu fulani nikajikuta nimengia katika masomo mengine(Engineering).
Pamoja na kusoma Eng. Still i love biology na kuna IDEAS ninazo, ambazo ningepata watu wa ku-share nao ningejisikia furaha sana moyoni mwangu.
To be honest ningependa hiyo institute iwe ya nje ya nchi(tz) coz naogopa kuvunjwa moyo kwa kuonekana naota ndoto za ali-nacha pale nitakapo zi-introduce hizo ideas kwa mtu ambaye atazisikia toka kwangu kwa mara ya kwanza.
(naishi dsm)