Nahitaji Baby Sitter

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Nahitaji Baby Sitter, Awe Msichana, MSafi, Muelewa na Mwenye kujua mahitaji ya watoto. Atakuwa anakaa na Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja katika muda wa kazi ( Saa 2 asubuhi mpaka saa 11 Jioni)... Kazi Ipo Kigamboni, kwahiyo anayetoka maeneo ya karibu au mwenye kuweza kufika mapema atapewa kipaumbele zaidi. Kama atapendelea kuishi nasi kwenye nyumba moja, ni vema pia.. Mshahara mnono utatolewa kwa anayestahili.<br>Kwa maelezo zaidi piga namba 0714881500
 
Duuuh mnono?kwa kawaida huwa haizidi 150,000. Je mnono unazidi hapo ndg yangu?nimueleze muhusika?
 
Duuuh mnono?kwa kawaida huwa haizidi 150,000. Je mnono unazidi hapo ndg yangu?nimueleze muhusika?

Wee ndo unachanganya vitu, hata elfu hamsini yaweza kuwa mshahara mnono kutegemeana na Muhusika. Na Milioni kumi yaweza kuwa mshahara wa hovyo pia itategemeana na muhusika pia. To me Netpay ya M5 kwangu ni mshahara mnono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom