Nahisi nilimegewa

Halafu usikute ilikuwa ni winter....

Malizia... eti alikuwa analala ukumbini wakati huo Ex BF wake (mzazi mwenzake) alale bed room anagugumia kwa maumivu yanayotaka na non-pathological inflammation! Ilibidi akamzindike kabla ya safari vinginevyo ni kumpima paka kama anapenda maziwa au la!
 
Wewe ndio unayemmegea. Jamaa amezaa mtoto na huyo demu, wewe ukajiingiza kwenye uhusiano wakati jamaa alishaanza. Muombe msamaha jamaa kwa kummegea mke wake.

Sasa mimi nilikuwa nammegea jamaa kivipi wakati alikuwa keshaachana na huyo msichana? Jamani kwani watu hata kama wamezaa mtoto/ watoto huwa hawaachani? Mimi kabla ya kujikita nilihakikishiwa na kwa kiasi kikubwa nikahakikisha mwenyewe kuwa kweli hawakuwa pamoja tena. Sasa nilikuwa nammegea jamaa kwa misingi ipi?
 
Unalosema ni kweli. Kama ulihakikishiwa wameachana huna hatia ya kumuibia jamaa. Ila mimi bado najiuliza, ulikuwa unawaza nini hadi unampatia mtu dhamana ya kukutunzia almasi yako kwa week 2?
 
Ndugu yangu wala usijidanganye. Jamaa amekumegea!! Mimi mama wa mtoto wangu huwa tukikutana lazima tumegane! (Ee Mungu ficha hii siri waifu asijue) Mahawara hawaachani kamwe!!
 
Nimejiuliza kweli huyu Brasil ni nani?!..kweli kama alikaa wiki mbili,kashughulikiwa.. Mtoto ni bond kubwa kati ya wazazi halafu peke yao huko Toronto mhh!!..

Asante Belinda. Wewe ni mwelewa sana. Na natumaini tutakutana baadae kule kijiweni.

Kwa mintarafu ya yaliyotokea, ni kwamba watu wanasahau kwamba peace of mind ni kitu muhimu sana ktk relationship yoyote ile. Mwenzako yuko huko na mwenzake wa zamani wewe uko huku peke yako. Hiyo lazima itakusumbua.

Kwangu mimi, kitendo cha yeye kufikia kwa jamaa, ni enough clear and convincing circumstantial evidence kuwa something went on. I don't need to catch them red handed. I don't need to have proof beyond a reasonable doubt. Clear and convincing evidence will do it for me because there are certain things that are a no-no in a relationship.

Na hata kama angefikia hotelini, mimi ningejuwaje kuwa jamaa haendi kulala hapo hotelini usiku? Hapa ndio tunarudi kule kule kwenye amani. Ni heri nikose hela kuliko kukosa amani. Jaribu siku moja kukosa amani uone.
 
Makubwa, yaani Umpe chui mbuzi waishi pamoja useme hakuna tatizo.... na wewe pia sijui hata ukoje jamani... haya pole tu, si amerudi?? fumba macho kwani kaacha kwa jamaa au amerudi na mali zako/zenu? Nafikiri neno zenu ndo zuri zaidimaana ni lazima jamaa alikukumbukia....

Methali na misemo na nahau vina maana sana....hebu soma hii kwa umakini zaidi.....Maji yalipopita mara ya kwanza, lazima yatapita tena!!!
 
Bht,hapo wote wawili walichemka tuu.Sasa wewe kuniringishia vogue yako unanipostia?Si angeenda nae? Na huyo dada alikuwa anamtaka tuu huyo mzazi mwenzio,anapelekewa mtoto yeye ni presidaa huko toronto!Anashindwa kubeba boksi akwee pipa kuja kumuona mtoto?Afu kwa mwanamke aliyetendwa na kutelekezwa akiwa mjamzito,kumpa mtu heshima yoote hiyo ya KUMPELEKEA mtoto,mtoto huyohuyo ambaye hakumtaka kabla ya kumuona!Angekuwa mama yangu,nikajua hii stori,ningemjia juu kwa kujipendekeza kwa huyo mtu wa kiume (manake baba yangu ni yule aliyekubali jukumu la kunilea)

Hapana! Mnakosea. Kulikuwa hakuna cha kuringishia. Hiyo ni tafsiri yenu tu. Maslahi ya mtoto yaliwekwa mbele kwa sababu mtoto alikuwa hamjui baba yake na kwa sababu zilizokuwa juu ya pande zote mbili, baba mtoto hakuweza kufunga safari kwenda kumwona mwanae. Sasa ingekuwa wewe ktk hali hiyo ungefanyaje huku una mtoto wa miaka miwili? Ungempandisha ndege peke yake? Na ndege gani hiyo wangemruhusu mtoto wa miaka miwili kusafiri peke yake?
 
Baada ya kur Komredi Fidel hebu nipe mawaidha yako...unalionaje hili? Nilimegewa? Mimi nadhani nilimegewa ingawa sina ushahidi wa bunduki inayofuka moshi.

Dah pole komredi nijuavyo mm daima mahawala huwa hawaachani kamwe.
Huwa tunaenda kwa mwendo wa kukumbushia sijui labda kama mliachana kwa mabifu lakini kama kwa amani dah komredi kukumbushia muhimu hata ikipita miaka 10 mkionana tu mna du ze nidifull angalizo lazima kiburudisho kiwe na mvuto.
 
Unaona sasa...at least wewe you are keeping it real....no fronting!!
 
Are you serious (blue)? Akina dada naomba ufafanuzi! Uwiiiii...... yaani sisi tunaowatendea mema tumekalia kuti kavu. Please naomba mnisaidie nisije nikambadilikia my wife wangu!!
Noname, hebu sema haraka kama haya maneno yako siyo utani! Haki ya nani, ukichelewa utabeba zigo la lawama. Inabidi kuwahi watu ili tusijekuonekana mazoba. Doormat,......hili ni tusi kubwa sana!!
DC brother dont get me wrong of course Women want to be treated like ladies, with respect and adoration lakini sio u supplicate kwake... sasa kama huyu Brasil kwanini amkubalie mchumba wake afuunge safari kumpelekea mtoto X... wewe unategemea huyo mwanamke anamheshim kweli?

what kind of man will allow that?
 
Ndugu yangu wala usijidanganye. Jamaa amekumegea!! Mimi mama wa mtoto wangu huwa tukikutana lazima tumegane! (Ee Mungu ficha hii siri waifu asijue) Mahawara hawaachani kamwe!!

Unaona sasa...watu kama nyinyi ndio wahalisia mnaoishi dunia yetu hii na si ile ya wonderland
 
Unalosema ni kweli. Kama ulihakikishiwa wameachana huna hatia ya kumuibia jamaa. Ila mimi bado najiuliza, ulikuwa unawaza nini hadi unampatia mtu dhamana ya kukutunzia almasi yako kwa week 2?

Ni maslahi ya mtoto. Mtoto kuwajua wazazi wake ni vizuri. Na kwa sababu ambazo zilikuwa juu ya uwezo wa pande zote ilibidi iwe hivyo ilivyokuwa. Kumbuka: maslahi ya mtoto yaliwekwa mbele. Kutokumjua mzazi wako ni kitu kibaya sana. It can scar you for life!!
 
Dah pole komredi nijuavyo mm daima mahawala huwa hawaachani kamwe.
Huwa tunaenda kwa mwendo wa kukumbushia sijui labda kama mliachana kwa mabifu lakini kama kwa amani dah komredi kukumbushia muhimu hata ikipita miaka 10 mkionana tu mna du ze nidifull angalizo lazima kiburudisho kiwe na mvuto.

Hapo kwenye blue siyo kweli. Hapo Mkuu unaonyesha jinsi ulivyo dhaifu katika maeneo hayo...
 
Asante Belinda. Wewe ni mwelewa sana. Na natumaini tutakutana baadae kule kijiweni.

Kwa mintarafu ya yaliyotokea, ni kwamba watu wanasahau kwamba peace of mind ni kitu muhimu sana ktk relationship yoyote ile. Mwenzako yuko huko na mwenzake wa zamani wewe uko huku peke yako. Hiyo lazima itakusumbua.

Kwangu mimi, kitendo cha yeye kufikia kwa jamaa, ni enough clear and convincing circumstantial evidence kuwa something went on. I don't need to catch them red handed. I don't need to have proof beyond a reasonable doubt. Clear and convincing evidence will do it for me because there are certain things that are a no-no in a relationship.

Na hata kama angefikia hotelini, mimi ningejuwaje kuwa jamaa haendi kulala hapo hotelini usiku? Hapa ndio tunarudi kule kule kwenye amani. Ni heri nikose hela kuliko kukosa amani. Jaribu siku moja kukosa amani uone.

Dah pole Bro inasikitisha sana.
Lakini dno hivyo jamaa alikumbushia tu lazima, angalizo komredi kama jamaa alimega lazima utaanza kuona dalili za mawasiliano ya mara kwa mara kwa mara ukiona tu hivyo ujue tayari mambo si mambo mwachie tu jamaa amuoe wewe kamata shori mwingine, kukaa wiki 2 si mchezo inamaana mchumba wako alikuwa anamwandalia mpaka msosi hata maji ya kuoga n.k anzia kufanya uchunguzi kwenye mawasiliano.
 
Hapo kwenye blue siyo kweli. Hapo Mkuu unaonyesha jinsi ulivyo dhaifu katika maeneo hayo...

Mi naongelea kutokana na uzoeefu kama ww unaona si kweli amini hivyo.
Nashuhudia watu wanaachana miaka 10 iliyo pita wakionana tu wanakumbushia.
Mwenyewe nikitembelea maeneo kama niliwahi du zenidifull nikirudi tena lazima nijiexpress kama kawa. Watu tunaongelea uzoefu na si kingine.
 
Dah pole Bro inasikitisha sana.
Lakini dno hivyo jamaa alikumbushia tu lazima, angalizo komredi kama jamaa alimega lazima utaanza kuona dalili za mawasiliano ya mara kwa mara kwa mara ukiona tu hivyo ujue tayari mambo si mambo mwachie tu jamaa amuoe wewe kamata shori mwingine, kukaa wiki 2 si mchezo inamaana mchumba wako alikuwa anamwandalia mpaka msosi hata maji ya kuoga n.k anzia kufanya uchunguzi kwenye mawasiliano.

Komredi shukrani bana. Mimi niliona dalili zote kuwa alimegwa. Hata angefikia wapi, kitendo cha wao kuwa karibu hivyo peke yao ni ushahidi tosha wa kimazingira kuwa walifanya matusi. Kwani mtu kwenye haya mambo ya malavidavi lazima umkamate mwenzio with his/her hand in the cookie jar? Hell to the noo....ni kutumia akili yako tu ya kuzaliwa!
 
Back
Top Bottom