Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,319
Acha kabisa kuwaza ujinga kama huu. Kuna watu wapo Muhimbili ICU wanapigania maisha ila wewe unawaza kujiua tena bado unamiliki gari ndogo ya kutembelea?Nliwaza kumeza dawa nyingi sana kukatisha maisha yangu. Mara kadhaa yananijia hayo mawazo.
Mandela alikaa jela miaka 27 akaja kutoka akawa Rais wa Afrika ya Kusini.