Nafikilia kufungua kampuni ya it........nipeni mawazo yenu kwa mlio na experience na kazi hizi

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
Wadau nafiklia kufungua kampuni ya it........jijini dar es salaam ambayo itayoshughulika na vitu vifuatavyo

1.web designing and web hosting

2.online databack up

3.selling of computer software

4.boot camps computer training

5.computer maintanance and repair

6.provision of internet services...............isp

kwa mlio na experience na kazi hizi au mshawahi kufanya kazi hizi ......naombeni mnifahamishe kazi zake zinalipa
 
Ita kuwa inalipa make ishu ni kupata connection ya watu pamoja na watalaam nami ni moja wapo wa watu wenye fani ya IT na bado natafuta kazi

0768234559
 
Mkuu ninaunga mkono wazo lako .Mie ni mdau wa IT ila nina mtazamo tofaut kdogo.Kwa nin usifanye ishu ya data base mana kampuni nying bdo znahtaj data treatment kuliko hayo madude ulotaja?
 
Usijali kaka cku hz watu wanasajil kampuni wanakuwa naofis then wanaomba kaz kwa njia ya tenda wakipata tu ile kaz inauzwa coz watu kibao hawana kaz hapa.Unaajiri wataalam wanafanya kaz unawalipa chao we unabak na chako.We fungua tu kampuni.Capital yako ni kias gan mkuu?Samahan kwa swal hlo
 
Back
Top Bottom