Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa.
Na ilipofika tarehe 17 march mwaka huu walioomba nafasi hizo waliitwa kwenye usaili jijini Dodoma.
Sasa angalia maajabu yanayojitokeza.
1. Walioteuliwa mpaka sasa ni around 8 na wanne kati yao ni wachaga.
2. Makada mahiri na wenye uwezo mkubwa na ambao wako kwenye mstari wa mbele katika kukijenga, kukisemea na kukipigania Chama hicho wamewekwa pembeni badala yake wanateuliwa malaya wa siasa wanaohamahama vyama vyao kama Ally Bananga wa Chadema aliyeteuliwa kuwa mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.
Hatahivyo malaya huyu wa kisiasa ameshindwa kabisa kusimamia majukumu yake ipasavyo si kwasababu tu hakijui chama vizuri lakini vilevile ni kiongozi ambaye hakuandaliwa vizuri.
Alichokuwa anafanya na wenzake kule Chadema ni kupiga chabo na kuporomosha matusi kwenye majukwaa ya siasa.Period
Hana jipya
Hana uwezo
Ni mlevi tu wa madaraka.
Anabebwa na baadhi ya watu ndani ya CCM wenye agenda binafsi
Inauma sana kuwa Makada mahiri wa CCM kutoka Dar wametupwa na badala yake Bananga ndiye mwenezi wa Mkoa.
3. Uteuzi unafanyika taratibu badala ya kufanyika mara moja na mara nyingi agenda hii ya wenezi haipewi umuhimu kwenye vikao vikuu vya Chama hivyo wapiga dili walioko ndani ya Chama wanatumia nafasi hii kupiga ela.
Waliunda kamati kusimamia jambo hili lakini cha ajabu kuna madudu ya kutisha.
Kuna watu wameteuliwa baada ya kutoa rushwa kubwa.
Kuna kipindi Bwana Shabani Mwanga,Mume wa Sofia Mjema alichukua uteuzi wa wenezi kama agenda yake binafsi na alifanya mambo ya ajabu ikiwa ni Pamoja na kuwapigia baadhi ya walioomba nafasi hiyo kuwaeleza kuwa "wasipomuona "hawatateuliwa "
Kwakuwa Paul Christian Makonda ameteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM taifa na kwakuwa ni mchapa kazi mahiri na asiyependa masihara nashauri yafuatayo
1. Amkumbushe Mwenyekiti wetu wa taifa umuhimu wa wenezi wa mikoa ili jambo hili lifanyiwe kazi ipasavyo.
2. Yeye kama Mwenezi wa taifa hawezi kufanya kazi mwenyewe hivyo uteuzi wa wenezi ufanyike haraka.
3. Uchunguzi wa kina ufanyike kwani kuna taarifa baadhi ya walioteuliwa walitoa hongo
Paul Christian Makonda Tunakuamini.
Fanyia kazi jambo hili
Usimeze matapishi ya Sofia Mjema na mume wake na wala rushwa ndani ya CCM
Kidumu Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake