Nachukizwa na uongo wa mashabiki ukraine kuhusu hali ya vita vyake dhidi ya urusi

Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
Mkuu sie wengine tuko kimya vita inaanz tumeiona live sahivi ukraine unaingia na kutoka vitu vimerud kawaida ila sio 100%

Tatizo unaandika ukiwa umelala ubungo external uku wahusika wakiwazoom tu.
 
Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
hakuna cha ajabu hapo!
"Wafurukutwa"kuchukiana ndio zenu.
 
Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
Hata mimi nachukizwa nao sana jana nimesoma habari kupitia RT na SPUTNIK warusi tayari wapo kiev tangia February Sheikh Putin alivyoamrisha Special Op

Lakini wao wabishi wakati Dhana zetu za vita Zikiharibiwa na Askari wetu wanaojisahau wakivuta Sigara wao wanasema HIMARS

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tuambie ule msafara wa km60 uko wap
Msafara umefika Kiev tayari katika Sikukuu ya Uhuru wao kutakuwa na Parade ya magari yetu ya vita yaliyofika tiyari
images%20(17).jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hawakulijua hilo?

..sidhani kama wamefikiria kuhusu VIFO vinavyosababishwa na vita hiyo.

..pia sidhani kama wamefikiria athari za KIUCHUMI za vita hiyo kwa mataifa mengine duniani.

..ukiacha mtikisiko ktk bei ya mafuta vita hiyo imesababisha upungufu wa NGANO na MBOLEA ktk nchi nyingi zinazotegemea kupata bidhaa hizo toka Urusi na Ukraine.

..ninashangaa sana watu wanaoshabikia vita hivi utadhani wanaangali mechi ya mpira wa miguu.
 
Kwenu kwetu vita
Kwawenzetu FURSA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom