Kanye ulaleMashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
Mkuu sie wengine tuko kimya vita inaanz tumeiona live sahivi ukraine unaingia na kutoka vitu vimerud kawaida ila sio 100%Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
hakuna cha ajabu hapo!Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
Hawakulijua hilo?..watu wanakufa.
..hampaswi kushabikia vita.
Hata mimi nachukizwa nao sana jana nimesoma habari kupitia RT na SPUTNIK warusi tayari wapo kiev tangia February Sheikh Putin alivyoamrisha Special OpMashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
Tuambie ule msafara wa km60 uko wapMashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
Msafara umefika Kiev tayari katika Sikukuu ya Uhuru wao kutakuwa na Parade ya magari yetu ya vita yaliyofika tiyariTuambie ule msafara wa km60 uko wap
Hawakulijua hilo?
Kwenu kwetu vita..sidhani kama wamefikiria kuhusu VIFO vinavyosababishwa na vita hiyo.
..pia sidhani kama wamefikiria athari za KIUCHUMI za vita hiyo kwa mataifa mengine duniani.
..ukiacha mtikisiko ktk bei ya mafuta vita hiyo imesababisha upungufu wa NGANO na MBOLEA ktk nchi nyingi zinazotegemea kupata bidhaa hizo toka Urusi na Ukraine.
..ninashangaa sana watu wanaoshabikia vita hivi utadhani wanaangali mechi ya mpira wa miguu.
Hao ng'ombe uskute ni watoto wa form 2Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
na wakaamua kujivamiaHawakulijua hilo?