Nachukia hii sana......!!

Habari wakuu, hivi wasichana wenzangu mshaona hii , unamwandikia email, au sms, au barua ndeeefu mpenzi wako halafu yeye anajibu maneno mawili, matatu..... mie binafsi naona hii wanaoathirika zaidi ni wanawake, cause tunapenda sana kujielezea hisia zetu kwa mapana na marefu... unaweza mwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda ukajielezea kurasa mbili yeye akakujibu mistari miwili tu, au na mimi pia...

hapo mnakuwa mmetuvunja nguvu sana, au umechukia kitu mko mnaongea utaongea masaa matatu yeye atakujibu nimekusikia nisamehe, hamuoni kwamba mnatakiwa mjielezee kidogo ingalau kumpa moyo mwenzio... inakukutaga hii embu niambieni wanaokutana na hali hii wanajisikiaje? mie huwa nakasirika mara mbili yake

Blackberry,

Unakumbuka wakati ninakutongoza nilivyoshuka mistari? Kadri ulivyokuwa mgumu kunikubalia, ndivyo nilivyozidi kushuka mistari. Nikatuma emails kibao. Nikatuma sms kibao. Barua pia nilituma. Still ukanitolea nje. Baadae ikanibidi nibadilishe strategy. Nikaingia kwa gia ya vitendo na wewe ukaingia line taratiiiiiibu. Kwa hiyo tokea tuanze uhusiano wetu, nikitaka kukuonyesha kuwa nakupenda, nitakuonyesha kwa vitendo. Juzi tuu ulinitunia sms ndeeefu lakini nzuri sana, na niliipenda. I have to admit that. lakini nilikujibu tuu kuwa kifupu. "I luv u 2 bby. c u @ hom". Najua hupendi kwa kukuandikiwa sms fupi lakini kweli nipofika nyumbani nilifanya kweli kwa vitendo, mwenyewe ukafurahi kichizi. Leo tena umenitumia message ndeeeefu kama ile ya juzi ukitegmea nitakujibu kwa kifupi halafu nitakuja kumalizia kwa vitendo nikirudi home.

Najua wewe unapenda kunionyesha unanipenda kwa meneno zaidi, lakini kwa bahati mbaya tunatokea planets tofauti. Unatokea Venus, mie natokea Mars. Kwa hiyo the way tunavyowasiliana ni tofauti. Sisi wa Mars hatuongei ile sanaaa vile. Hata tunavyoongea wenyewe kwa wenyewe, tunaongea kwa kifupi sana, save pale tunapojadili masuala ya mpira hehe hee. Na The Boss amesema hapo tukiwa na hela ndio kwanza maongezi kwa vitendo yanazidi.

Blackberry,

Unakumbuka wakati ninakutongoza nilivyoshuka mistari? Kadri ulivyokuwa mgumu kunikubalia, ndivyo nilivyozidi kushuka mistari. Nikatuma emails kibao. Nikatuma sms kibao. Barua pia nilituma. Still ukanitolea nje. Baadae ikanibidi nibadilishe strategy. Nikaingia kwa gia ya vitendo na wewe ukaingia line taratiiiiiibu. Kwa hiyo tokea tuanze uhusiano wetu, nikitaka kukuonyesha kuwa nakupenda, nitakuonyesha kwa vitendo. Juzi tuu ulinitunia sms ndeeefu lakini nzuri sana, na niliipenda. I have to admit that. lakini nilikujibu tuu kuwa kifupu. "I luv u 2 bby. c u @ hom". Najua hupenda kwa kukuandikia sms fupilakini kweli nipofika nyumbani nilifanya kweli kwa vitendo, mwenyewe ukafurahi kichizi. Leo tena umenitumia message ndeeeefu kama ile ya juzi ukitegmea nitakujibu kwa kifupi halafu nitakuja kumalizia kwa vitendo nikirudi home.

sasa tufanyeje maana miaka na miaka tupo nanyi lakini tunashindwa kuwaelewa kabisa, mbona mnapokuja juu na sisi tukinyamaza mnatuambia tuna viburi???

...asente asente kaka, waambie bana.

Maneno yote tunayaongea na kuyamalizia wakati wa 'kujenga msingi, ukuta na kuezeka paa!' Tukishahamia tunawaachia nyie kufanya maintenance ndogo ndogo za ndani...

Msichoke jamani,...'Kama maneno hata kwenye khanga yapo!' tena mnatafsiri kwa mapana na marefu.
Mtuvumilie jamani...:pray2: :boom:

Mbu bwana inalau mchukue muda wenu mtupe mashairi kidogo kama kipindi mnatutongoza, hapo ndio maana wadada walioolewa wakikutana na malenga wetu wanapagawa kwa misemo yao

sasa tufanyeje maana miaka na miaka tupo nanyi lakini tunashindwa kuwaelewa kabisa, mbona mnapokuja juu na sisi tukinyamaza mnatuambia tuna viburi???

Kasome kile kitabu Men are from Mars, Women are from Venus. Kinasaidia sana kuelewa tofauti zetu. kwa sababu ya nature zetu hatutakaa tuweze kuelewana. Na nina wasiwasi kama tutaelewana, tutakuwa tunaboana sana. I mean tutakuwa very predictable. Kweli nyie mkinyamaza tunaona kama mna viburi b'se kwa nature zenu ni watu wa kuongea sana. Moja ya sifa za mwanamke ni kuwa mwongeaji.

Mbu bwana inalau mchukue muda wenu mtupe mashairi kidogo kama kipindi mnatutongoza, hapo ndio maana wadada walioolewa wakikutana na malenga wetu wanapagawa kwa misemo yao

...unajua wewe unataka niandike mambo humu halafu nije nikose mchumba hapa, si ndio?
I reserve my comments hapo kwenye 'kuwatongoza upya' bibi na bwana wakishakuwa pamoja.

Homework ya leo;
• kuku anasifiwa kwa ladha yake (baada ya kupikwa?,) au kwa mbio alizofukuzwa (kabla ya kuchinjwa?)

Habari wakuu, hivi wasichana wenzangu mshaona hii , unamwandikia email, au sms, au barua ndeeefu mpenzi wako halafu yeye anajibu maneno mawili, matatu..... mie binafsi naona hii wanaoathirika zaidi ni wanawake, cause tunapenda sana kujielezea hisia zetu kwa mapana na marefu... unaweza mwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda ukajielezea kurasa mbili yeye akakujibu mistari miwili tu, au na mimi pia...

hapo mnakuwa mmetuvunja nguvu sana, au umechukia kitu mko mnaongea utaongea masaa matatu yeye atakujibu nimekusikia nisamehe, hamuoni kwamba mnatakiwa mjielezee kidogo ingalau kumpa moyo mwenzio... inakukutaga hii embu niambieni wanaokutana na hali hii wanajisikiaje? mie huwa nakasirika mara mbili yake

Aiseeee!!!

Poa, ok, sawa, ni maneno nisiyoyapenda kamwe we umeandika misitari ya kufa mtu yeye anajibu hivyo sijui wakoje hawa viumbe

Dena Amsi,

Najua kweli huwa mnaboreka sana. Of course, inaudhi pale unapoandika msitari ya kufa mtu lakini unajibiwa kwa mstari mmoja. Hapo mtu mwingine anaweza kuchukulia kama dharau vile. Lakini sio kweli kuwa wanaume hatuongei. Wanaume wanaongea tena sana tuu. Kitu ambacho wanaume hawaongelei ni feelings zao za kimapenzi. Na jamii imejenga tabia kuwa ni ajabu mwanaume kuongea feelings zake za mapenzi hasa kwenye public. Kwa mfano unakumbuka Tom Cruise alivyorukaruka kwenye sofa la Oprah akielezea jinsi anavyompenda Kate ambaye sasa ni mke. Unakumbuka reaction ya public ilikuwaje? Kwa hiyo jamii nao inachangia.

Lakini ukweli ni kwamba ilipokuja suala la feelings, wanaume tunakuwa na wakati mgumu sana ku-jiexpress wenyewe ukilingansiha na wanawake. Ndio maana hata tunapowatongoza wakati mwingine tunachemka ile mbaya lakini bado mnatukubali kwa vile mnajua wazi kuwa sisi ni wagumu sana kuji-express feelings zetu. Wakati mwingine kusema tuu "I love you" ni suala kubwa kwa wanaume wengine. Kwa wanaume wengine kusema vitu vidogo kama hivi inahitaji effort kubwa sana. Lakini ni rahisi sana kwa mwanamke kusema "I love you".

Lakini cha kufurahisha, linapokuja suala la ugomvi, wanawake wanapenda sana kuficha sababu (hisia) za kugombana. Angalia kwa mfano kwenye suala la domestic violence. Kuna wanawake wanapigwa sana na wanaume zao, lakini hawasemi. Hata uwabane kivipi, watakaa kimya au watatoa sababu nyingine. Lakini kwa wanaume, kunapotokea ugomvi, huwa wanataka kuruka sehemu ya maongezi na kuendelea ASAP kwenye mabusu and ku-make up. Kuna sababu kuu tatu zinazofanya wanaume washindwe ku-express feelings zao za kimapenzi. nitaazieleza baadae nisije na mimi nikaandika sana.

Lakini kumbukeni kuna kipindi Bujibuji alianzisha thread akataka kujua jinsi ya kumwambia mkewe kuwa anampenda. Alisema kuwa anaona kumwambia "I Love you" halina mshiko. Limekuwa too common. Wanawake wa JF mkamshauri kuwa ampende mkewe kwa vitendo na kuwa maneno haya tija. Kinachomata ni matendo.

• Thanks
Reactions: Mbu
Ni tofauti ya kibailojia....
Sio kosa letu....

Ukitaka mwanaume akupe kurasa mbili za maelezo
basi usimvulie nguo....
The moments tukisha nanihi
tunarudi kuwa wanaume...
Its a nature.usitulaumu

....blackberry,Boss hapa amemaliza fitna zote...............

Dena Amsi,

Najua kweli huwa mnaboreka sana. Of course, inaudhi pale unapoandika msitari ya kufa mtu lakini unajibiwa kwa mstari mmoja. Hapo mtu mwingine anaweza kuchukulia kama dharau vile. Lakini sio kweli kuwa wanaume hatuongei. Wanaume wanaongea tena sana tuu. Kitu ambacho wanaume hawaongelei ni feelings zao za kimapenzi. Na jamii imejenga tabia kuwa ni ajabu mwanaume kuongea feelings zake za mapenzi hasa kwenye public. Kwa mfano unakumbuka Tom Cruise alivyorukaruka kwenye sofa la Oprah akielezea jinsi anavyompenda Kate ambaye sasa ni mke. Unakumbuka reaction ya public ilikuwaje? Kwa hiyo jamii nao inachangia.

Lakini ukweli ni kwamba ilipokuja suala la feelings, wanaume tunakuwa na wakati mgumu sana ku-jiexpress wenyewe ukilingansiha na wanawake. Ndio maana hata tunapowatongoza wakati mwingine tunachemka ile mbaya lakini bado mnatukubali kwa vile mnajua wazi kuwa sisi ni wagumu sana kuji-express feelings zetu. Wakati mwingine kusema tuu "I love you" ni suala kubwa kwa wanaume wengine. Kwa wanaume wengine kusema vitu vidogo kama hivi inahitaji effort kubwa sana. Lakini ni rahisi sana kwa mwanamke kusema "I love you".

Lakini cha kufurahisha, linapokuja suala la ugomvi, wanawake wanapenda sana kuficha sababu (hisia) za kugombana. Angalia kwa mfano kwenye suala la domestic violence. Kuna wanawake wanapigwa sana na wanaume zao, lakini hawasemi. Hata uwabane kivipi, watakaa kimya au watatoa sababu nyingine. Lakini kwa wanaume, kunapotokea ugomvi, huwa wanataka kuruka sehemu ya maongezi na kuendelea ASAP kwenye mabusu and ku-make up. Kuna sababu kuu tatu zinazofanya wanaume washindwe ku-express feelings zao za kimapenzi. nitaazieleza baadae nisije na mimi nikaandika sana.

Lakini kumbukeni kuna kipindi Bujibuji alianzisha thread akataka kujua jinsi ya kumwambia mkewe kuwa anampenda. Alisema kuwa anaona kumwambia "I Love you" halina mshiko. Limekuwa too common. Wanawake wa JF mkamshauri kuwa ampende mkewe kwa vitendo na kuwa maneno haya tija. Kinachomata ni matendo.

...ama wewe umewafahamu vizuri sana, ha ha ha...
Leo wanalalama tuongezee maneno, kesho watasema tulie japo kidogo!
Shughuli!

• Thanks
Reactions: EMT

Thanx kwa hii misitari lazima aingie line sawa?! Usijesema nimejibu kidogo maana nimesoma mpaka nimepata usingizi kwa jinsi misitari ilivyosimama thanx again

Mbu umenifurahisha sana,
najaribu kufikiria hapa, kwani kuna wakati wanalalamika kuwa,
hawapendi wanaume wale hata kwenye 6 kwa 6, wao wapo kimya kimya........
hata mguno hakuna, eti utajuaje kama unamfurahisha....lol....

Thanx kwa hii misitari lazima aingie line sawa?! Usijesema nimejibu kidogo maana nimesoma mpaka nimepata usingizi kwa jinsi misitari ilivyosimama thanx again

pole,
lakini si ndio ngonjera mnazozipenda hizi?

BB kweli inauma kama umejitutumua na kuangusha mistari ya maana ila nadhani wengi wa wanaume wako hivyo.

Mie nimekuwa short and clear kuendana nao..napenda kuandika 'love, ratiba?' 'mpz, nakuhitaji. tuonane' 'love, za leo' 'sorry kuhusu jana' najua majibu yatakuwa kwa kifupi pia na vitendo juu.. halafu nimeshazoea ok, thanks, sawa, mida, later nk..na mie najibu hivyo hivyo nikipata texts.
Ila stori ndefu sipendagi mana huwa wanalazimika kudanganya wakati wamezoea kufanya vitendo zaidi..

thanks kwa kutuelewa,
ila usizoee sana na wewe kuwa short,
kwa mdada haipendezi sana.......

Back
Top Bottom