Nabii Flora wa Mbezi DSM ameumbuka Uchaguzi Arumeru!

Manabii wa siku hizi wanajikoboa? anyway mkimuona muulizeni kama yeye ndiye yule wa kwenye maandiko au tusubiri mwingine?
Manabii wa andiko na hawa hapa:
(Yule mtoto Issah/Yesu) Akasema: Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, amenipa Kitabu (Injil) na (M'Mungu) amenifanya Nabii. Quran:19:30.
'' Na mtaje Ibrahim katika kitabu (Qur'an) hiki. Bila shaka yeye alikuwa mkweli sana, Nabii. Q:19:41.
'' Tulimpa (Ibrahim) Is'haka na Yakuub, na kila mmoja tukamfanya Nabii. Q:19:49.
'' Mtaje Musa katika kitabu, hakika yeye alikuwa ni mwenye kuchaguliwa, na alikuwa Mtume, Nabii. Tukambpa nduguye, Harun, awe Mtume, Nabii. Mtaje katika kitabu Ismail ....alikuwa Mtume, Nabii. Mtaje Idris ........alikuwa mkweli sana na Nabii.
'' Hao ndio aliowanedmesha Mwenyezi Mung, miongoni mwa Manabii, katika kizazi cha Adam, na katika wale Tuliowachukuwa pamoja na Nuhu (katika Safina) na katika kizazi cha Ibrahim na Israel (akiwamo Yesu) na katika wale Tuliowaongoza na Tukawachaguwa. Wanaposomewa ayaya Rahman (M'Mungu) huanguka kusujudu na kulia. Q:19:51-58.
 
Hebu elezea ni namna gani wapuuzi kama wewe mnaodai kuwa "mnanyonywa" na Wakristo na "mfumo kristo" na kulialia kila kukicha, ni "expensive"? Pumbaaf mkubwa! Halafu hapo ulipo umechimbia Ulaya au Marekani, na siyo uarabuni, huku ukishinikiza kwa nguvu zako zote taahira uliyemzaa na mke wako Mmanga aende darasani kujifunza Kiingereza kama lugha yake kwanza (na siyo Kiarabu, lugha ambayo mwenyewe huijui, achilia mbali Mmanga uliyezaa naye). Kudaadeki!
Kudadaadeki Mgalatia kapagawa ! Kawa kama Lusinde !
 
Nabii Flora Wa Mbezi Beach aliwambia Waandishi wa habari kuwa ameoteshwa na miungu yake kuwa Mgombea wa CCM Sioni Summari Mkwe wa Edward Lowassa atashinda uchaguzi mdogo Arumeru.Habari hiyo iliandikwa Front page kwenye gazeti la Uhuru!!Kutokana na ushindi wa Mgombea wa Chadema Arumeru ni dhahiri kuwa Nabii Flora ni nabii wa uongo na tapeli!!!Hata hivyo juzi baada ya kutoa utabili huo alijitikeza kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa ameombea watu UKIMWI na tayari watu 40 wamepona na kuthibishwa na madaktari. Tangazo hilo lilitolewa kwenye gazeti la tanzania Daima .

hahaha!! atabairi na 2015 .. kwani kifo cha CCM kimewadia
 
Hivi mbona hawa manabii asilimia kubwa wapo jijini Dar? kwingineko vp? hakuna watu wanaowahitaji?:A S-confused1::A S-confused1:

Kwani mzunguko mkubwa wa fedha upo wapi? Waende mikoani wakafe na njaa, makanjanja siyo kwenye siasa tu hata kwenye mambo ya kiimani wamejaa sana siku hizi, uenda ndo twaelekea kwenye utimilifu wa maandiko kuwa siku za mwisho watatokea wengi wakihubiri kwa jina langu ila si wa kwangu.
 
haahahahhaha, daaah lengo si kwamba nilitaka cheka lakini weakness kubwa ya uoga wa mtanzania ni kifo. Babu wa loliondo aligundua hilo naye akajichotea maela sa hivi ametulia.
Kila kukicha manabii wapya wanaibuka na makanisa mapya.
Swali la kujiuliza ina maana kabla ya hawa manabii wa makanisa ya leo watu wote walikuwa wamepotoka au walikuwa katika madhehebu ya shetani.


Cowards die many times before their
deaths.
The valiant never taste of death but once.
Of all the wonders that I yet have heard,
It seems to me most strange that men
should fear, Seeing that death, a necessary end,
Will come when it will come.
144000 kizazi cha yakobotu huku tunadanganyana hawa ni waganga waliokosa vyeti vyauganga
 
Hakuna tena manabii duniani kuna kuna watu wenye njaa na waongo wapotoshaji.
 
hayo mambo yanachanganya saaaanaaa! Inabidi kusali na kuomba saaaana roho mtakatifu atuongoze na atufunulie kuhusu hawa manabii! Kwani kuelewa yupi ni wa ukweli imekuwa ni tatizo kubwa mno! Wamekuwa wengi mnooo..... Ee mungu tupe mwanga wa kuwagundua hawa manabii, kwani wenyewe kwa wenyewe wanakandiana. Je, sisi kondoo tufanyeje?
jiusiumize kicha kutaka kuelewa kwamba kuna nabii wa ukweli tanzania.yeyote unayemwona anajiita nabii kwa leo ni tapeli.
 
KAKOBE alitapatapa 95 kuwa Mungu wake amemwambia NCCR watashinda,ikala kwake!
2005 Kilaini alibwatuka kuwa JK ni chaguo la Mungu...ukweli unaonekana!
Jamani,NJAA HAINA ADABU![/QUOTE]

Ndugu yangu napata shida kuamini kuwa na wewe ni great thinker coz utawazaje kutoa hoja kwa info za vijiweni? Sipingi kuwa bishop aliunga mkono upinzani na maana ndio kazi yake kukemea maovu ya watawala na kutetea haki, ila hakuwai kutamka haya maneno. Wewe unajua jinsi gani ccm kwa ku2mia propaganda huzua mambo na kwa hiyo hata kwa bishop ndo kilichotokea na wahanga wengne kawaulize Jenerali Ulimwengu, Husein Bashe na CUF. Kiufupi napinga kua bishop hajawai toa hiyo kauli na mwenyewe alishatoa ufafanuzi wa hilo. " always street rumours is subject to distortion" and remember " no research no right to speak"
 
Nabii Flora Wa Mbezi Beach aliwambia Waandishi wa habari kuwa ameoteshwa na miungu yake kuwa Mgombea wa CCM Sioni Summari Mkwe wa Edward Lowassa atashinda uchaguzi mdogo Arumeru.Habari hiyo iliandikwa Front page kwenye gazeti la Uhuru!!Kutokana na ushindi wa Mgombea wa Chadema Arumeru ni dhahiri kuwa Nabii Flora ni nabii wa uongo na tapeli!!!Hata hivyo juzi baada ya kutoa utabili huo alijitikeza kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa ameombea watu UKIMWI na tayari watu 40 wamepona na kuthibishwa na madaktari. Tangazo hilo lilitolewa kwenye gazeti la tanzania Daima .

Utashangaa sasa watu hawapungui kwenda kanisa lake bali wanaongezeka
 
Galatians 6:7 it is written 'Be not deceived, God is not mocked, for whatever a man soweth that shall he also reap'.
 
Bado wa LOWASA yule mNIGERIA almaarufu km TB JOSHUA almtabiria kua ndo RAIS ajae wa TANZANIA basi LOWASA akaanza kulobby makanisa kwa kua km ndo fundraiser...sasa na yeye ajiandae kwani janja yao ya kuwatia hofu kwa kujifanya eti wana link na MUNGU inajulikana.....ama kweli wajinga ndio waliwao hivi watu bado wanamuamini huyo anae jiita nabii?

lini alimtabiria lowasa kwamba atakuwa rais? Wewe umeona kwa macho yako akimtabiria au umesikia tu watu wanasema? Sio vizuri kuweka maneno kwenye midomo ya watu hasa maneno ya kusikia tu
 
Back
Top Bottom