Nabii gani mikorogo kibao na makarolight kibao..Mwiziiiiiiiiiiii huyoooooooooooooooooooo
wakati mwingine nakosa la kuchangia tehe.....tehe.... kalolite
wengi waliokwenda kwa babu wamekufa!!!!!!!!!!!!!ni kama sakata la babu wa kikombe tu
hakuna aliyepona ni sawa na loliondoo, maafa yanakuja mengi!!! Watu wanapakwa mafuta kama anavyojipata nabii mkeninyi "mlioponywa" kwa "nabii" flora, mbona mmejikausha? Mbona hamji kumtetea nabii wenu? Au shuhuda zenu, ni fix?
Acha maneno ya kutunga kuhusu Kakobe. Hakuwahi kusema lolote kuhusu NCCR, mwaka 1995. Ni mwaka 2000, ndipo alipompigia kampeni Mrema, wakati yuko TLP. Hata hapo, hakutoa UNABII wowote kuhusu Mrema. Kuna tofauti kubwa kati ya kutoa unabii, na kupiga kampeni. Kakobe hajawahi kujiita Nabii, wakati wowote ule!
Kampeni za Kakobe, mwaka 2000, alipokiponda chama cha magamba, kwa kusema alikuwa na sababu 1000 za kukichukia, ndizo zilikuwa moja ya vyanzo vya mwamko wa upinzani nchini. Na mwaka 2010, elimu yake ya uraia iliyokwenda shule, aliyoitoa katika TV, ilisaidia sana kuzima kampeni chafu za magamba, dhidi ya CDM. Hivyo, acha kuleta michanganyo hapa. Mada iliyoletwa hapa, ni juu ya NABII FLORA, na unabii wake, kuhusu Arumeru.
Kha! kwani huyo Kakobe anatofauti gani na huyo Flora? mi naona wote ni wanja tu. wewe kama Flora kakukosa basi inaonekana umenaswa na Tapeli Kakobe, Makanisa sikuhizi ni sehemu ya burudani na kukamuana tu! .
Kha! kwani huyo Kakobe anatofauti gani na huyo Flora? mi naona wote ni wanja tu. wewe kama Flora kakukosa basi inaonekana umenaswa na Tapeli Kakobe, Makanisa sikuhizi ni sehemu ya burudani na kukamuana tu! .
acha uwongo wewe huku niliko wote walioenda, mpaka sasa wote bado wanakula sembe, acheni uzushiwengi waliokwenda kwa babu wamekufa!!!!!!!!!!!!!
Sasa mbona na Yesu ni NABII ?! Ina maana wako level moja na BWANA ?Eti nabii.....tehe tehe tehe!!
Wakristo ni watu cheap sana kuwanyonya..
Mwenyezi Mungu awaongozi katika njia iliyoonyooka.. (ISLAM)
Maana kila kitu kiko wazi kwamba hakuna dini hapo lakini watu bado hawaoni (shame)???