Naachwa kisa ni Dini

Ukweli halisi dini ni kikwanzo kikubwa katika mahusiano na si kwamba masikia tu bali hata mimi nimekubwa na mkasa huu na kutana na wapenzi wa kristo na wisho huwa ni tofauti za kidini so nazani ni bora muislam ampende muislamu .kwa ushauli wangu kama unapenda kuishi na kufulahia fulsa ya mapenzi kwa mpenzio tafuta dini yako na makabira co tatizo sana
 
sijuikama mtazamo wangu utakuwa appealing to you but you need to ascend beyond the limits of love and romance and calculate it against the mtazamo wa mtu wako.sometimes mna exaggerate mapenzi,hayako kihivyo,b carful
 
Dah! Nilikimbiwa akasingizizia sikuwa nampigia simu,akampata mwanaumw wa dini yake akaolewa naye fasta,mzee nikakosa hivi hivi!
 
Ukweli halisi dini ni kikwanzo kikubwa katika mahusiano na si kwamba masikia tu bali hata mimi nimekubwa na mkasa huu na kutana na wapenzi wa kristo na wisho huwa ni tofauti za kidini so nazani ni bora muislam ampende muislamu .kwa ushauli wangu kama unapenda kuishi na kufulahia fulsa ya mapenzi kwa mpenzio tafuta dini yako na makabira co tatizo sana
Kwa Matola kabila ni tatizo kubwa siwezi kuowa mzaramo kila siku ngomani.
 
Kwa Matola kabila ni tatizo kubwa siwezi kuowa mzaramo kila siku ngomani.

mkuu we mkali,kuna wakurya akija binamu kama haupo anamega,utaweza? Makabila mengine wao maisha yao ni kujiachia tu. Hawezi kula maharage wakati pesa ipo! Jirani zangu wanyaki mpo?
 
dini gani hiyo inayokwambia ukristo ni kafir, I thought are people fo the book

hawa ndo waliowekwa wengi kwenye mchakato wetu wa katiba! No way hatuwezi kuchangamana na hawa wafuasi wa al shabab na alqaeda!
 
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.

Wewe ni muislamu kweli? Je ni nini hukumu ya uislamu (Qur-ani na Sunna) kuhusiana na:

1. Mwanamme muislamu kuoa mwanamke asiye muislamu?
2. Mwanamke muislamu kuolewa na mwanamme asiye muislamu?

Kwa kidokezo tu na kama kweli wewe una imani unayodai ya kuwa "muislamu", basi Mwenyezi Mungu amekupenda kwa kukuokoa na kukupeperushia mbali na zahama unayotaka kujiingiza na kukupa second chance ya kutubu kwa hayo ambayo tayari umeshayafanya kuhusiana na mahusiano hayo na kuweka akili na imani ya dini yako sawa. Nini hasa unaendekeza wewe kinyume na dini yako:

1. Ujinga au
2. Kupinga maamrisho ya Mwenyezi Mungu na mafundisho ya Mtume wake hali ya kuwa unayajua?

Uislamu ni kufuata Qur-ani na Sunnah za Mtume, na kwa kiasi fulani wazazi kama wanakuongoza na kukushauri kwa mujibu wa vitu hivyo viwili, unataka nini tena zaidi ya miongozo hiyo?
 
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye ni mkristo.na mimi siwezi kubadili dini,na kumuacha ni vigumu sana kwani nampenda zaidi ya sana.wakubwa nisaidieni maana sijui la kufanya.

Unao uhuru wa kuchagua MOTO au PEPO. Na atakayeongoka atakuwa ameokoa nafsi yake, na mwenye kukufuru basi ni kwa hasara ya nafsi yake.
 
Dini ni kigezo muhimu sana katika uhusiano wowote wa kimapenzi. Haipendezi na wala haitokuwa jambo la busara kufunga ndoa na dini tofauti. Hao watoto watakaozaliwa watafuata dini ya nani? Ndio maana kila siku huwa nashauri ni vyema kwa wapendanao kufunga ndo wote wakiwa katika dini moja ili kuwajenga watoto wao vizuri kiroho na kimwili.
 
uyo demu anakupotezea time tu. uyo kashapata mtu mwingine ambaye dini sinafana, mkuu akufukuzae akwambii toka we mtumzima akili kichwani..................................
 
Back
Top Bottom