Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

new level

JF-Expert Member
Apr 21, 2021
269
567
Habari wana JF,

Mimi ni kijana (27) na nina mpenzi tunaependana, hivi karibuni nimepanga kumchumbia tatizo yeye Muislam mimi Mkristo na anadai kwake haitowezekana kubadili dini mimi pia ku change dini naona nitakuwa nimejikosea sana maana ndio dini iliyonikuza, naiheshimu sana Wakuu, nifanyeje?

Kumpotezea napo naona ugumu maana nampenda sana na pengine inaweza nichukua muda mwingi hadi kuja kupanga kuoa tena.
 
Back
Top Bottom