Mzungu Omba Omba ndani ya Dar

Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha

Labda alikuwa jini
 
jamani yeye ni binadamu, na huwa inatokea hali kama hiyo huenda kweli A/C ina shida, mimi nilishawahi kopesha mzungu kwa sababu eneo alilopangiwa kazi lilikuwa mbali na benki waliyomrejister alipoingia tz, na tulimuelekeza alisafiri mpaka ilipo benki na alirudi akarudisha pesa aliyoazima. na alikuwa hana hata nauli wala pesa ya kula. si wote matapeli, ugeni na taratibu za eneo husika wakati mwingine si rahisi kuzielewa haraka na yeye ni mgeni
 
Tumeambiwa eti wazungu hapigi mizinga
 
Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha

Wazungu ni binadamu tu ndugu yangu kama ulivyo wewe na mie. Ukijua hili utaelewa hili linaweza kutokea kwa kuwa naye ni mtu anayeweza kupatikana na masahibu. Kukazia somo hili nikupe taarifa kwamba mwaka 1993 nikiwa Arusha kuna msichana alimwibia mzungu kila senti aliyokuwa nayo. Angepata wapi nauli kurudi Dar apewe msaada Ubalozini. Na kwa tabia za wamarekani, wakijua aliibiwa akitafuta starehe gesti ingempa shida za kudaiwa hiyo hela akirudi kwao.

Ukiwa kwao kabisa Mzungu kukuomba msaada wa fedha ni kitu cha kawaida. December 1981 nilikuwa Los Angelis safarini kuenda San Jose for Christmas. Scandinavia za kule zinaitwa Greyhound Bus. Nilishuka kwenye hilo basi kuzurula kidogo nikawa nipo sehemu fulani maalum kufungia mizigo kwa muda kwa malipo kidogo. Wakati natoka wenye zile Lockers nilikutana na baba mmoja mrefu kadri ya futi 6 hivi amechoka mbaya. Sijakutana na binadamu amenishukuru kama Mzungu yule nilipompatia Dola 5. They are human!
 
Wachangiaji wengi hapa wameonesha mentality za kikahaba, wa kwanza ni aliyetuletea mada. Kusema dada zetu wawe makini sio kila mzungu ana hela maana yake ni kwamba wanapaswa kuwapapatikia wenye hela. Hizo ni akili za kijinga kabisa na ni ushauri mbaya.

Mzungu ni binadamu kama wewe na maisha hayana mwenyewe. Kama ishu ni kutapeliwa na tuonyane lkn hiyo statement ya dada zetu wawe makini, hiyo ni mentality ya KUJIUZA
 
ni kweli, kwa mfano baadhi ya wazungu wanapokuja bongo wanajua mojax1 watanzania ni wakarimu, so hata kuficha pesa hawajui, na mara nyingi sana wamekuwa wakiporwa pesa na vibaka. yaani anaweza toka benki bila kujua anaweka pesa kwenye begi na kuingiza begi lenye pesa kwenye buti nilishaona live hiyo kitu. so akifika mahali afungue begi atoe pesa anakuta hana kitu wala kadi ya benki.
 
Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha
Mkuu kama wewe sio msafiri basi huwezi kumsaidia mtu huyo.
Lakini kama ulishawahi safiri nje ya bara la Africa ,au hata nje ya bongo na ukasaidiwa,,,na wengine,
Basi hiyo siyo ajabu kwa mtu tena raia wa kigeni kukuomba msaada...
Maisha ni safari ndefu sn mkuu,,unapopitia vingi basi utakuwa na cha kujifunza ktk maisha..
Na lazima uelewe sio kila mzungu ni kutoka marekani au ulaya yenye neema...
Ukitaka kumsaidia mtu msaidie bila kumuhukumu...
 
Sawa Mkuu nimekupata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom