Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
gaijing umesema mwaya lakin umesahau kitu kimoja.silaha bib weeeeeeeee kijibastola kidooooooooooooogo au kijisplay ile spray ya pilpili basi watoto wa mbwa wakitaka kukudhuru unafanya kuwapulizia tu fyuuuuuuuuuuuuuuu fyuuuuuuuuuuuuu afu safari inaendelea!!!!!!!!!!!1
kijisiraha muhimu km c spray ya upupu au pilipili basi kijitofali flan ivi japo cha robo kilo apo mkoba unakuwa full for evethng ushonaji umo,stationary umo,confevtionary umo ,mc donald umo ,kwa kova na tibaigana pia umo!!!!!!!!!
halaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
nawasilisha.:lie: