Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 213
Mwanamke Kanga.. Kiongozi Mbu.
mimi nilikuwa nafikiri labda kanga huwa wanaweka dharura wakifikwa na siku zao bila wao kutegemea...watu si wanatofautiana jamani, mwingine anaweza kuanza kubleed because of mshituko fulani tu etc na wengine siku zinakuwa zigzaga hivyo ajajua kama amevaa sketi wakati huo akijisikia ubichi tu anavaa kanga hadi afike nyumbani ili watu wasilitambue hilo...au ni nini zaidi ya hilo?...ni desturi tangu zamani, hivyo hat akama haiotatokea hivyo, ni desturi ya wengine...
kama mnaongelea kuhusu uzinzi, si lazima awe na kanga? mtu mzima anaweza kufanya chochote hata mumewe asijue kama ameamua na kama dhambi ya uzinzi imemjaa moyoni..na kanga sijui kama ndo wanatumia hivyo...wadada wenyewe watuambie kama huwa wanafanya hivyo kwaajili ya nini....
visabuni vile sijui kwanini gesti wanavipenda sana!....
kila gesti wanaviweka vile HALAFU VINA HARUFU KWEL KWEL:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
visabuni vile sijui kwanini gesti wanavipenda sana!....
kila gesti wanaviweka vile HALAFU VINA HARUFU KWEL KWEL:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Ivi na lile shuka mnalowekaga begani nilakazi gani?
Ivi na lile shuka mnalowekaga begani nilakazi gani?Shuka?:A S-eek:
Halafu vina jina moja tu! EVA na hili jina mie naliheshimu sana sana!
...ha haha, nadhani ana maanisha kikoi/mtandio/ushungi..
...kwakweli aisee, kwa wengine ni jina kama la yule mama kwenye vitabu vya dini aliyemponza Adam.