Mzee wa Upako: CCM wanamuogopa Lowassa

Kama CCM wangekuwa wanamuogopa Lowassa unadhani wangetumia kalamu ya Bic kulikata jina lake?

Jaribuni basi hata kutumia common sense au ndio yale yale kuwa common sense is not common!

Ni sawa na kufahamu haya ni mavi lakini baada ya kumuona fulani anakula basi na wewe unaanza kula badala ya kujiuliza kwanza kwa nini anakula mavi.
CCM hata wakiona Mmasai Mchungaji Ng"ombe Adrenalin Hormones zaonzinakuwa juu Sana kama wameona Simba vile
 
Mianya ya ufisadi na wizi serkalini imefungwa kwa hiyo sasa hivi kina Mzee wa Upako hawapati sadaka nyingi Kama zamani.
Si ajabu mama alipata mimba nje ya ndoa ila sasa hivi unadai haki kama uko kwa baba halali
 
Back
Top Bottom