Mzee wa Upako atoa amri mvua kunyesha nchini na imenyesha

Mimi natabiri leo wingu litaonekana kwa masaa mengi kuliko jua>>>>>>>>>>>>>>>na uwezekano wa kunyesha mvua upo
 
MCHULUSEKELOGPL.jpg

Juzi nilikuwa guest fulani naangalia tv....nikavutiwa na mzee wa upako Antony Lusekelo akifanya mahojiano na chanel 10...alisema aliamuru katika mikoa baadhi akaitaja Singida,Dar nk mvua inyeshe tarehe 9....

...akasema sasa hivi Dar mawingu yameshaanza kutanda....na kweli nasikia Dar mvua imenyesha juzi 10/feb 2011...pia alisema kwa anaebisha ajitokeze kama yeye kwenye TV na ataamuru ukame utokee...kasema ana uwezo huo...

Mzee wa Upako ni asset kubwa kwa Watanzania....tumtumieni wakuu...
Angeamru zinyeshe mtela kina chamaji kiongezeke tuachane na mgawo wa umeme!!
 
Kuna kitu nashindwa kukielewa hapa au sijui sina akili mwenzenu........... Mzee wa upako kamuamrisha Mungu alete mvua!!! Duh hii kali ya mwaka


"Mzee wa Upako atoa amri mvua kunyesha nchini na imenyesha"
 
Yesu kabla au baada ya kuombea m2 au ki2 hakuwa anajisifu bt alikuwa anasifiwa if ukiona m2 anajifagilia huyo ni msanii km {kanumba, ray,hemed,mlela}
 
Hakuna cha upako hapo, full gospel entrepreneurship.

Mbona haombei mafisadi waondoke maramoja. he is just harvesting unjustly from the poor in the name God's upako!
 
Ulikuwa 'guest' lakini ukiangalia mahubiri!!" lol...
ndio mkuu.......3star hotel.....
kweli nilivutiwa na Mhubiri Lusekelo kama kaamuru mvua inyeshe na ikanyesha.....basi tatizo la umeme limepata ufumbuzi......na kuna watu walikuwa wanasema live kuwa matatizo yao yametatuliwa na mzee wa upako.....

...mfano dada mmoja kapata uraia australia dadake alikuja kushuhudia....

...tujongee kanisani kwake ubungo acheni ubishi....
 
Aamuru Umeme uwake bila kuzimika Tanzania for 100 years

Alafu aamuru mafuta yashuke bei mpaka tsh 500 per litre

HAPO NITAMKUBALI

ILA BADO IMANI YANGU IPO KWA MWENYEZI MUNGU ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI KWA KUTUMIA KAULI TU,
 
tapeli tu. Kama anajiamini ya nn kufanya matangazo kwenye matelevision.

Same question!! Juzi alikuwa anaji-promo channel ten, kitapeli-tapeli. Hehe, wewe uliona wapi nabii kada wa chama tawala?

Sadaka za mama zetu zinamuweka town, na msipostuka mapema ataendesha Hummer kama yule wa kanisa la ufufuo na uzima

Siku Mungu akirudi atawacharaza bakora za tumbo wanaotumia jina lake kujipatia shekeli za maskini. Wapo wengi sana leo hii.
 
Same question!! Juzi alikuwa anaji-promo channel ten, kitapeli-tapeli. Hehe, wewe uliona wapi nabii kada wa chama tawala? Sadaka za mama zetu zinamuweka town, na msipostuka mapema ataendesha Hummer kama yule wa kanisa la ufufuo na uzima,.
Siku Mungu akirudi atawacharaza bakora za tumbo wanaotumia jina lake kujipatia shekeli za maskini. Wapo wengi sana leo hii.

Samahani mkuu hivi kumbe manabii wanatakiwa wawe makada wa vyama vya upinzani?
 
MCHULUSEKELOGPL.jpg

Juzi nilikuwa guest fulani naangalia tv....nikavutiwa na mzee wa upako Antony Lusekelo akifanya mahojiano na chanel 10...alisema aliamuru katika mikoa baadhi akaitaja Singida,Dar nk mvua inyeshe tarehe 9....

...akasema sasa hivi Dar mawingu yameshaanza kutanda....na kweli nasikia Dar mvua imenyesha juzi 10/feb 2011...pia alisema kwa anaebisha ajitokeze kama yeye kwenye TV na ataamuru ukame utokee...kasema ana uwezo huo...

Mzee wa Upako ni asset kubwa kwa Watanzania....tumtumieni wakuu...

Aamuru inyeshe Arusha mjini na maeneo ya Longido kama ana huo uwezo.
 
Same question!! Juzi alikuwa anaji-promo channel ten, kitapeli-tapeli. Hehe, wewe uliona wapi nabii kada wa chama tawala? Sadaka za mama zetu zinamuweka town, na msipostuka mapema ataendesha Hummer kama yule wa kanisa la ufufuo na uzima,. Siku Mungu akirudi atawacharaza bakora za tumbo wanaotumia jina lake kujipatia shekeli za maskini. Wapo wengi sana leo hii.
Ilo nalo neno maana mjini hapa MATAPELI ni wengi na wana mbinu nyingi jamani dunia hiiii!! Wapi tuendako!!!?
 
Miujiza gan ya kujinadi? Hilo ni zee la misifa, halafu wewe unayesema tumtumie, anza wewe,usishawish wanajamvi wamwabudu binadam wkt mungu yupo.

Umetumwa nini mzee?sema kama we una hisa kweny sadaka anayokusanya.
 
Mungu ambariki sana huyu mtumishi wa bwana,Na aendelee kutuombea watanzania tuwe na amani,Ila kuhusu mafisadi hawezi kutusaidia kuwachapa kwa jina la Bwana?
 
Back
Top Bottom