Huyu mzee siku hizi hasikiki kabisa yuko wapi? hakuna wakati nchi yetu inatakiwa kuwa Wazi na kuzungumzwa Ukweli kama wakati huu!
Tunamuomba huyu Mzee ajitokeze hadharani na kutuambia ukweli na kwa uwazi Serikali yake ilihusika vipi na kashfa za Epa, Meremeta, ununuzi wa Rada, Ndege ya Rais, mradi wa kiwira, Mke wake kuhusishwa na kashfa za kumiliki Benki maarufu nchini, Serikali kuhusika na mauaji ya halaiki huko Pemba bila kusahau mauaji ya Mwembechai nk. huku kukiwa na tetesi kuwa hata kifo cha Julius Serikali yake inahusika kwa sababu hayati Mzee Julius alianza kuhoji juu ya kubinafsisha Benki ya Biashara NBC na hatari ya kuja kubinafsisha mpaka Magereza!!
Jamani kuna mtu yoyote anahabari za huyu Mzee wa Ukweli na Uwazi?
Mwenzake wa karibu ameshaanza kujitokeza hadharani na kugusia mambo mengi ya kisiasa lakini labda anaogopa kuongelea mambo mazito waliyofanya wakati wa utawala wao huenda anangojea Mzee wa Ukweli aje kuongelea yeye mwenyewe!