Mzee wa ukweli na uwazi yuko wapi?

che mkapa yuko lushoto anapuliza shisha kwenye bar yake.. Hamna media inayoweza kumfikia ndio maana hasikiki
 
Nchi inakoelekea siko kwenyewe. Mawazo ya watu wengi yana mwelekeo hata kabla ya kupata mawazo ya wengine. Kazi ipo.
 
Nchi inakoelekea siko kwenyewe. Mawazo ya watu wengi yana mwelekeo hata kabla ya kupata mawazo ya wengine. Kazi ipo.

Sasa wewe usichoelewa hapa ni nini? Kikwete ndio muasisi wa haya yote, yeye anatetewa na waislamu wenzake sasa kuna tatizo gani na Mkapa kutetewa na wakristo wenzake?
 
nomba kuuliza nitapata wapi pa kupata nyama hii iliyokatwa hivi , pamoja pork shoulder square ribs 0714326796 nipo dar ni kwa ajili ya oda kubwa tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom