joel amani
Senior Member
- Nov 22, 2011
- 100
- 8
Mzee mwendapandi anayeishi kijiji cha balasi la ng'ombe kata ya halungu wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya amekutwa amekufa jana kwa kifo cha kusikitisha,tukio hilo ambalo ni la aina yake lilianza muda kabla ya kukutwa amekufa baada ya kupotea gafla kwa muda wa kama wiki tatu hivi na jitihada za kumtafuta zilianza bila ya mafanikio yoyote na kulizuka maneno kibao kwa kupotea huyo mzee wetu mpendwa,maneno yalizuka kulingana na shughuli aliyokuwa anaifanya huyu mzee mwendapanandi kwani alikuwa ni mganga wa jadi