Mzee mwendapanandi afariki

joel amani

Senior Member
Nov 22, 2011
100
8
Mzee mwendapandi anayeishi kijiji cha balasi la ng'ombe kata ya halungu wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya amekutwa amekufa jana kwa kifo cha kusikitisha,tukio hilo ambalo ni la aina yake lilianza muda kabla ya kukutwa amekufa baada ya kupotea gafla kwa muda wa kama wiki tatu hivi na jitihada za kumtafuta zilianza bila ya mafanikio yoyote na kulizuka maneno kibao kwa kupotea huyo mzee wetu mpendwa,maneno yalizuka kulingana na shughuli aliyokuwa anaifanya huyu mzee mwendapanandi kwani alikuwa ni mganga wa jadi
 
Mganga wa kienyeji? Sasa amekutwa amekufaje? hebu eleza vizuri bwana. Au aliwasema vibaya wateja kama maji marefu alivyomsema vibaya Ulimboka? Hasira ya watu au kifo natural? Mbozi nako bwana, utadhani ni Shinyanga.
 
huyu mzee haijulikani mpaka sasa chanzo cha kifo chake muda tunakwenda kwenye labda wanaweza kudokeza nduguze ila uchunguzi zaidi unaendelea kufanyika nitawadokeza
 
Mzee mwendapandi anayeishi kijiji cha balasi la ng'ombe kata ya halungu wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya amekutwa amekufa jana kwa kifo cha kusikitisha,tukio hilo ambalo ni la aina yake lilianza muda kabla ya kukutwa amekufa baada ya kupotea gafla kwa muda wa kama wiki tatu hivi na jitihada za kumtafuta zilianza bila ya mafanikio yoyote na kulizuka maneno kibao kwa kupotea huyo mzee wetu mpendwa,maneno yalizuka kulingana na shughuli aliyokuwa anaifanya huyu mzee mwendapanandi kwani alikuwa ni mganga wa jadi
MwendaKidogo yamemkuta yapi tena,?
 
Mapepo aliyokuwa akiyaabudi yamemchukua.

Mzee mwendapandi anayeishi kijiji cha balasi la ng'ombe kata ya halungu wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya amekutwa amekufa jana kwa kifo cha kusikitisha,tukio hilo ambalo ni la aina yake lilianza muda kabla ya kukutwa amekufa baada ya kupotea gafla kwa muda wa kama wiki tatu hivi na jitihada za kumtafuta zilianza bila ya mafanikio yoyote na kulizuka maneno kibao kwa kupotea huyo mzee wetu mpendwa,maneno yalizuka kulingana na shughuli aliyokuwa anaifanya huyu mzee mwendapanandi kwani alikuwa ni mganga wa jadi
 
huyu mzee amekutwa msituni ndani ya mto,alikuwa usiku akirudi kwake na baiskeli kwenye mda wa saa mbili hivi,wakamvizia njiani na kumpiga na nondo kichwani na kabla hajafa wakamfunga na baiskeli yake na kumdumbukiza mtoni,i think ilikuwa tar 22 mwezi huu na jana ndo tumempata,hii ndo mbozi ni ukatili na kwenda mbele,sasa tupo mazishini
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom