#COVID19 Mzee Makamba: Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki. Lazima wajue uhuru wao unaishia Bungeni

'Long term effects' zinatokana na kile kilichomo kwenye chanjo, sio 'speculations'. Wataalamu wamefanya 'sequencing' na kuthibitisha kwamba hakuna kilichomo kwenye chanjo kinachoweza kuwa na 'Long term effects'
All genome sequencing is revealing that COVID19 has no characteristics of a typical Corona virus pointing to a Lab created virus !!

Its all about free consent. The public does have the right to know that these vaccines are still brand new and long term effects will only be known upon observing the vaccinated over time ergo this corona vaccine program is a medical experiment. A formal announcement is in order.

mRNA vaccines have NOT worked previously, but now they do? This is genetic engineering with -Injected Messenger RNA corona vaccine enters our healthy cells & stays there permanently, to what long term effects? We kachome. Beba na familia yako if you can.
 
Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swla hili la chanjo.

Mzee Makamba anasema baadhi ya viongozi wa CCM wamekuwa wakimdharau sana Rais samia hivyo ametaka washughulikiwe mara moja.

Mzee Makamba anasema yeye si msemaji wa CCM lakini anashangaa ukimya wa baadhi ya Wana CCM na viongozi wa CCM hasa katika hali ya Rais kuonekana ana dharauliwa na baadhi ya wana CCM.

Mzee Makamba ametaka wana CCM kuwachukulia hatua Gwajima na Pole pole.. kwani hawavumiliki.

Chanzo: Magazeti
Jamani, Mzee Makamba ni msemaji wa CCM? hivi hana wajukuu wa kuwasimulia hadithi na hivyo kuwa bize??
 
mzee makamba achana na hizi siasa kwani zilishakupita siku nyingi mno! Ni vyema ukatumia huu muda wako kufanya ibada na kusali.
 
Kufa hata wewe unasubiri kufa ntymbu wa makengeza. Tena unaweza ujafa wewe yeye akabaki.

Kama unatetea uhuru wa maoni wa Gwajima, unapinga vipi tena uburu wa maoni wa Makamba ?
Wazee kama makamba walishakosa dira ashabakiza umwinyi wa katanga tu haha lolote!
 
'Long term effects' zinatokana na kile kilichomo kwenye chanjo, sio 'speculations'. Wataalamu wamefanya 'sequencing' na kuthibitisha kwamba hakuna kilichomo kwenye chanjo kinachoweza kuwa na 'Long term effects'
Usipoteze muda kuwaelimisha idiots.
 
Huyu mzee atulie kwanza. asije akamharibia mwanae njia ya kwenda Ikulu.

Kipindi kile walipigwa pini kwa sababu hizi hizi na kutaka kujionesha yupo.
Ikulu ya nyumbani kwake! Hivi huyu makamba mdogo unaona kabisa anauwezo wa kuwa Rais ni mtu mswahili tu hana utendaji wowote ni jk wapili!
 
Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swla hili la chanjo.

Mzee Makamba anasema baadhi ya viongozi wa CCM wamekuwa wakimdharau sana Rais samia hivyo ametaka washughulikiwe mara moja.

Mzee Makamba anasema yeye si msemaji wa CCM lakini anashangaa ukimya wa baadhi ya Wana CCM na viongozi wa CCM hasa katika hali ya Rais kuonekana ana dharauliwa na baadhi ya wana CCM.

Mzee Makamba ametaka wana CCM kuwachukulia hatua Gwajima na Pole pole.. kwani hawavumiliki.

Chanzo: Magazeti
Isingekua wale wabunge wa covid 19, barua yao ya kufukuzwa ingekua inazurula mitandaoni.
 
Kufanya kazi au kutofanya kazi ni hiari lakini kuwashawishi watu wasifanye kazi, ni kosa.

Unaelewa?

Unaweza kuamua kutochanjwa lakini usishawishi watu kutochanjwa kwa sababu uamuzi wa Serikali na ushauri wa WHO, ni wananchi wapate chanjo. Hivyo huna haki ya kutumia ignorance ya watu kuwapotosha.

Haina tofauti na chanjo za polio, tetekuwanga, kifua kikuu, n.k; wananchi wanashauriwa kuwapeleka watoto wao kuchanjwa, hakuna anayekamatwa kwa nguvu kwenda kumchanja mtoto wake lakini ukipatikana unashawishi wazazi wasiwapeleke watoto wao kupata chanjo, ni kosa kwa sababu unakwenda kinyume na sera ya Taifa na miongozo ya WHO.
Hujielewi wewe si ni serikali hiyohiyo ilituambia tusichanje mwaka jana, ila kasema raia ndo mnaanza zengwe! Na huyu raisi si alikuwepo?!
 
Wewe mzee mbona nyie mlimdharau Mwendazake,wewe,mwanao January,Nape,Kinana.Sauti zenu zilivuja unajua,je mbona hamkufukuzwa na JPM alichukuliana nanyi!
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Mimi ninachojua chanjo ni hiari. Anayetetea kuchanja ana haki sawa na anayekataza watu wasichanje.

Hivyo, wote wapo sawa, wote haki zao ni sawa.
Chanjo ni hiari lakini siyo kumvunjia heshima raisi. Nyie gomeni kuchanja lakini kumtukana mama hata kama kuna mambo anakosea si sawa!!!!
 
Chanjo ni hiari lakini siyo kumvunjia heshima raisi. Nyie gomeni kuchanja lakini kumtukana mama hata kama kuna mambo anakosea si sawa!!!!
Kama kamvunjia Heshima Rais basi Akamatwe awajibishwe.

Lakini kuanza kumnanga kwakua tu hataki chanjo si Jambo jema.
 
Kama kamvunjia Heshima Rais basi Akamatwe awajibishwe.

Lakini kuanza kumnanga kwakua tu hataki chanjo si Jambo jema.
Issue siyo kukataa chanjo ni kumtukana na kumdharau raisi!!!! Anamdhalilisha sana raisi pamoja na kuwa raisi katuudhi kutuwekea tozo kwenye miamala na luku, si sawa!!
 
Back
Top Bottom