sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Bado ana Preta, bado kuna Badili Tabia, Kongosho... Hebu mwambie atulizane Bana
Asipotulizana kwa hiyari yake atajibeiba.....tena na hivi siku hizi ARV zote ni fake.....atajiju!
Bado ana Preta, bado kuna Badili Tabia, Kongosho... Hebu mwambie atulizane Bana
Filipo lazma umuaimi sweetlady coz ushakufa umeoza na husikii wala huambiliki hadi yatakapokukuta kama ya Vin Diesel kumwagwa kama gunia la chumvi lol
Hahahahhaaa TANMO sio kukukosesha haja ya moyo bali zote kabisa FP is mine labda nikuangalizie nafasi kwa Arabela kama bwana wake kafungwa maisha maana ni mjane kwa sasaUnanisingizia Bana,,
Preta ndiyo nani huyo? Mbona simjui?
FP my dear, hizi ni chokochoko tu za huyu B52 kutaka kunikosesha haja la moyo wangu.
sweetlady si ulikuwa na nitonye ukahamia kwa Vin Diesel then umerudi tena kwa nitonye ingawa zamani pia ulikuwa na klorokwini wakati uporoto yuko na Kabakabana
Bisha.....tena wakati ule Husninyo alikuwa na @jugdement full malovedove
Hivi manyau ya bar unayajua yaliyomakubwa?Mtu mzima hatishiwi nyau wewe!? Najiamini!