my ex

calvinbill

Member
Apr 1, 2012
8
1
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na kunilisha juice yake kidogo, watu walishangaa na walinzi wa G4S walishakaribia, huyu mdada nilimpenda sana, leo amenialika Uganda anako ishi na amenitumishia Flight ticket niende next week. je nifanyeje?
 
kama ni ex wako na mlipotezana miaka 9 ilyopita na unampenda km ulivyosema,halafu bahati mbaya au nzuri hujaoa then what are you waiting for?go ahead kaka
 
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na kunilisha juice yake kidogo, watu walishangaa na walinzi wa G4S walishakaribia, huyu mdada nilimpenda sana, leo amenialika Uganda anako ishi na amenitumishia Flight ticket niende next week. je nifanyeje?
calvinbill unauliza samaki baharini wakati ndio kwao! fanya hima nenda, mbona unataka kumtia hasara mwenzio?? ebo!
 
Last edited by a moderator:
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na kunilisha juice yake kidogo, watu walishangaa na walinzi wa G4S walishakaribia, huyu mdada nilimpenda sana, leo amenialika Uganda anako ishi na amenitumishia Flight ticket niende next week. je nifanyeje?

Katumbue maisha weekend kwa Museveni bana, maisha iko fupi kabadili upepo mkuu mengine pembeni kumbuka zana tu..
 
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na kunilisha juice yake kidogo, watu walishangaa na walinzi wa G4S walishakaribia, huyu mdada nilimpenda sana, leo amenialika Uganda anako ishi na amenitumishia Flight ticket niende next week. je nifanyeje?

Najua kuna tatizo hapo, umeoa au una mchumba ambae uko very commited kwake ndo mana unaomba tukushauri. Pia tujuze huyo x wako alikuambia kuhusu status ya mahusiano yake kwa sasa? TAFAKARI, CHUKUA HATUA!
 
Mmmh! Kaka miaka tisa sio michache usifanye papara ukaishia kulia..Una mke/Mchumba? Na yeye je ana Mume/ Mchumba? Usidhani kwa muda wote huo alikuwa hana mahusiano anakusubiria wewe tuu..
 
tatizo.....
Preta! tatizo lipi tena? Ni maisha tu, hasa ukizingatia yalivyo mafupi, ni kula bata kwa kwenda mbele bila kujali kama umeoa/olewa, kama baada ya miaka tisa mmoja ana gita na wewe una ngoma. Ni kuunda bendi tu hata kama ni mmoja wenu tu ana vifaa vya mziki. Mnaendeleza libeneke tu kwa kwenda mbele.
calvinbill nenda ukayaone maisha kwa Mbabe Museveni. Usisahau kuwa mende. Lakini usisahau kubeba angalau ncha kali ya TOPAZ: kwani unajua kama yuko peke yake au ana Nyamaume huko. Bado tunakupenda jamvini.

Bazazi ni Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na kunilisha juice yake kidogo, watu walishangaa na walinzi wa G4S walishakaribia, huyu mdada nilimpenda sana, leo amenialika Uganda anako ishi na amenitumishia Flight ticket niende next week. je nifanyeje?

Jee umeshapata data zake huko anakoishi? Usije ukaingia katika mambo usiyoyategemea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom