my ex

Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na kunilisha juice yake kidogo, watu walishangaa na walinzi wa G4S walishakaribia, huyu mdada nilimpenda sana, leo amenialika Uganda anako ishi na amenitumishia Flight ticket niende next week. je nifanyeje?

What are you waiting for?
 
wabongo kwakupenda maisha ya kwenye movie..haya sasa tuambie hiyo umeona kwenye movie gani?:redface:
 
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na kunilisha juice yake kidogo, watu walishangaa na walinzi wa G4S walishakaribia, huyu mdada nilimpenda sana, leo amenialika Uganda anako ishi na amenitumishia Flight ticket niende next week. je nifanyeje?

mkuu umekuja kuaga au kutaka ushauri,coz u seem kinda excited..simply,usiende,frimason uyo,teh teh tket mpe best friend wako,...
 
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na kunilisha juice yake kidogo, watu walishangaa na walinzi wa G4S walishakaribia, huyu mdada nilimpenda sana, leo amenialika Uganda anako ishi na amenitumishia Flight ticket niende next week. je nifanyeje?

mmmh ila stori zingine kuamini inachukuwa time sana, sijajua kama kweli mtu miaka tisa eti akukute barabarani akubusu akunyweshe juisi yake, kweli jamani, inamaana hakufikiri kuwa ndani ya hiyo miaka tisa umeshapata mtu mwingine na may be uko nae meneo hayo, hii story yako kwa kweli kwa kweli .....bado imekaa ki movie movie hivi....
 
Acha papara, hivi unajua back ground yake mda huu?usituletee maradhi kutoka nje,
sasa jipange kufungua account ambayo kule kuna branch maana mambo ya kugharamikiwa sio mzuka,unaweza kufika huko ukarudi arusha kwa miguu. Je wewe huna ubavu? Maana chunga tamaa ni mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom