my doc judgement!?!!?!

hee dr. mie si kama ambulance tu me ni she hofu ondoa.halafu unaharakishia kuvaa suti wakati nepi hujavaa ndo maana haponi.mi lazima niwe mpiga chabo ngoma naiskia mdundo wake kwanini nisijongee kuona wadundaji

The Katibu umefanya la mbolea ! Kunijuza na umeishusha preasure yangu chini.
Kwa maana lile pimio badala ya kulivaa shingoni , kuna time nililijifunga kiunoni !
 
The Katibu umefanya la mbolea ! Kunijuza na umeishusha preasure yangu chini.
Kwa maana lile pimio badala ya kulivaa shingoni , kuna time nililijifunga kiunoni !

We lishushe hadi mguuni si ndo mbwembwe za u dr.mzuka ukipanda
 
We siumemwambia the secretary kuwa nikufuate buzuruga ama kanidanganya? Bas mi ntakufa na wewe my doc

Haya ndiyo maneno murua! Bichwa lilivyonivimba ! Sipati picha !
Sasa ,
maujuzi
maufundi
yangu yote nayamwaga kwako !
 
mmmmh jaman bas hata kama bt kidogokidogo sio saaana kama unavyosema

Walaa mshipa usikugonge!
Hebu sasa lala mlalo ulee niliyokuelekeza hivi punde, nataka nianze shughuli ya wito ulionifikisha hapa.
Hata usihofu kazi naifanya taaratiiibu !
Hatua baada ya hatua !
Mbona unahema sana ?
Usiogope hivi ni kawaida tu !
 
Sawaa doc bt bt doc sa mbona unanimaliuu hivoo jaman haya ngoja kwanza hiyo sindano mbna ndefu
 
Sawaa doc bt bt doc sa mbona unanimaliuu hivoo jaman haya ngoja kwanza hiyo sindano mbna ndefu

Be calm my patient! Wala haina urefu wa kuumiza!
Unadhani ya kichina ? (maudodo)
walaa!
Haina uchina-uchina hii !
Subiria tu , kidogo tu, stahamili.
Nikimaliza kukudunga na nikiitoa utaniafiki ni ya kawaida!
Kama una fikra ya maumivu tupa kulee!
Nimemahirika kiutoshelevu na fani hii.
Naanza....
 
sasa doc Judg huyo pacha wangu MA DOUDOU kaingiaje kwenye hiyo sindano radhi lasivyo huyo mgonjwa namletea dr.kutoka kule kwetu kwenye hudumu urafiki kati ya...na TANZANIA KWANZA KASHAANZA KULALAMIKA BORA DR.ASPRIN NAONA HATA WAKINA KONGOSHO HAWALALAMIKI
 
Goods under quality from China now days called Maudodou !
Ndiyo kusema hujasikiaga ?
 
Nyie ndiyo mnasababishaga migomo!
Sasa ma'Doc tukishawatibu mkatulambisha vumbi tutaishije?

Doc judge sema unataka nini... doc anabaki mmmh mmmh aeio anbaki na nakigugumiziiiii hehehhee chezea beibe wewe tena nasty
 
Doc judge sema unataka nini... doc anabaki mmmh mmmh aeio anbaki na nakigugumiziiiii hehehhee chezea beibe wewe tena nasty

Mie si nataka ileile?
Kama ya jana!
We wadhani nilikua sutsfied? Kiduchu vile ?
Bila kukuchokozea kwenye hospital churges , ningepataje hayo makitu?
Hence , nataka tena!
Hakuna mbaya ukifanya kama umenisusia hivi !
Afu kigugumizi lazma! Haya makitu hayazoeleki !
Chezeiya utelezi weyee ?
 
Kigugumiz kigugumiz kama judge..ju....jud..judge...me....ent heeheheheh utakufa doc shaurilo jaman b52 wap upo wewe mim miss uuu njoo umuokoe ndugu yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom