my doc judgement!?!!?!

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
jaman judgement popote ulipo n yoyote mliemuona judgement mwambieni beibe nasty anasumbuliwa na maradhi ya tumbo ts serious iwant him hapa haraka iwezekanavyoo. N people niombeen jaman ni get well soon maumivu ni makali saana
 
Tafuta magnezium umeze au kuna dawa nyingine ya tumbo inaitwa judgement maanake siku hizi!!!
 
jaman judgement popote ulipo n yoyote mliemuona judgement mwambieni beibe nasty anasumbuliwa na maradhi ya tumbo ts serious iwant him hapa haraka iwezekanavyoo. N people niombeen jaman ni get well soon maumivu ni makali saana

Pole bi shosti, but why only Judgement?
 
Last edited by a moderator:
jaman judgement popote ulipo n yoyote mliemuona judgement mwambieni beibe nasty anasumbuliwa na maradhi ya tumbo ts serious iwant him hapa haraka iwezekanavyoo. N people niombeen jaman ni get well soon maumivu ni makali saana
beibe nasty pole sana shemeji yangu kipenzi....
Nakuombea upone haraka....
Ngoja nimtafute huyu Judgement
 
Last edited by a moderator:
Judgement ndo daktariii dats why bt akishindwa atatafutwa mwingne
Lol
Asipopatikana unambie tujue la kufanya hata kama ni kureport police ila si kwa kumtafuta mwingine na kwa wakati hajapatikana ntakusaidia kupunguza maumivu sawa eeeeh
 
Naona Erick unajipigia pande mdo mdo..
 
jaman judgement popote ulipo n yoyote mliemuona judgement mwambieni beibe nasty anasumbuliwa na maradhi ya tumbo ts serious iwant him hapa haraka iwezekanavyoo. N people niombeen jaman ni get well soon maumivu ni makali saana

Katika hali isiyo ya kawaida beibe nasty , fahamu kwamba mara tu nilipoisoma headin' ya Sredi, maandalizi ya kuichangia kwanza nimeenda kuoga, nikajipaka mafuta, nika'spray light perfume (siyo ile kali ikaja kum'disturb my patient)
Ni hivi :-
Taarifa hii imenikuta kikaoni nime'pay excuse kwa wanabodi nitoke kwa dharura, na ndiyo nishatoka .
Doc on the way now! With fully treatment tools, pia ile kesi imefutwa rasmi.
Hukubahatisha kuipata Tiba hapa, u m e p o n a.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, maumivu ya tumbo+ doc+ judge, iiiiii, hapa kupona ni 100% guaranteed. beibe nasty, ukipona nirefer na mie kwa Judgement anitibie tumbo langu, lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom