Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
..."This thing between woman legs makes things really happen"...
Huu ni moja wapo ya mistari ninayoikumbuka sana kwenye novel hii marufu. naomba kama kuna mdau anayejua inapopatikana novel hii iliyojizolea umaarufu mkubwa sana Africa, anijulishe plz.
Novel name; My dear Bottle
Writer; David G. Maillu