"My dear bottle"

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
..."This thing between woman legs makes things really happen"...

Huu ni moja wapo ya mistari ninayoikumbuka sana kwenye novel hii marufu. naomba kama kuna mdau anayejua inapopatikana novel hii iliyojizolea umaarufu mkubwa sana Africa, anijulishe plz.

Novel name; My dear Bottle
Writer; David G. Maillu
 
wewe jaman ur ma enjo sent from above....IKI NI KILIO CHANGU N I WAS ABT TO WRITE T HERE ...KM KUNA MTU ANA KITABU CHOCHOTE CHA UYU BWANA ANAMBIE....NAMPENDA HAKUNA TENA UYU jamaa alikuwa anaandika vzuri ...marafiki zangu wote wa nairob wanajifanya hawana bt m real in nid na vtabui vyake...UKIPATA NISHTUE PLS N PLS ...

yaaan umenikuna kweli kweli cz umegusa panapowasha pangu...teh teh km nawaona vle watafsiri...:twitch::twitch: macho kodo kodo mawazo kuleeeeeeeeeeee kwa seramala..!!!!!
 
Yaani mi niliwahi kuwa nacho nikiwa mwanafunzi, akaja kuniibia mwalimu (ajabu eh?). Nimejaribu ku-order online kwa publishers fulani, naona wananiyeyusha.
 
Rose a.k.a dada......tutakorofishana,kwani wewe huwezi muambia Tuko kuhusu hicho kitabu mpaka uongee yote hayo,mara kakukuna,mara sijui nini,nenda taratibu.....unagusa target za watu hapa...........lol
Ntawatafutia basi......:coffee:
 
DADATOM ..kwan umesahau kuwa silaha ya mwanamke ni maneno?mi NAHONGA MANENO YE ANANIONGA ELA NA KITABU AKIKIPATA

ukimaliza kusoma futa TUKO asione...asije akaninyima bureeeeeeeee!!!
 
Yaani mi niliwahi kuwa nacho nikiwa mwanafunzi, akaja kuniibia mwalimu (ajabu eh?). Nimejaribu ku-order online kwa publishers fulani, naona wananiyeyusha.

dahh jaman
kweli mwaya
pole jaman asi awa walimu wetu wwenye MAADILI....pole
 
DADATOM ..kwan umesahau kuwa silaha ya mwanamke ni maneno?mi NAHONGA MANENO YE ANANIONGA ELA NA KITABU AKIKIPATA

ukimaliza kusoma futa TUKO asione...asije akaninyima bureeeeeeeee!!!

ha ha h a h haaaaaaaaa,nimekusoma,kwa kuzitumia silaha wewe ni bingwa.....mi kazi kujifunza kutoka kwako.....lol

Usjali,Tuko hana shida si mchoyo atakupa mi ninamfahamu sana........ukishasoma we nipe na mimi,nijue siri za hicho kitabu.......:laugh:
 
Hiki kitabu kilinisabishia maumivu kwa nilichapwa nilipokiiba kukisoma! na kikafichwa na my late father mpka anafariki aliingia na siri ya hiki kitabu kaburini, I was in std 6 by then!
 
DU WE KIINGLISH KILIKUWA KINAPANDA TANGU STD 6?
NA ILE LUGHA YA KIFICHO YA YULE BWANA ULIKUWA UNAELEWA?
manake ana vifcho sana kwenye matumiz ya lugha
 
ha ha h a h haaaaaaaaa,nimekusoma,kwa kuzitumia silaha wewe ni bingwa.....mi kazi kujifunza kutoka kwako.....lol

Usjali,Tuko hana shida si mchoyo atakupa mi ninamfahamu sana........ukishasoma we nipe na mimi,nijue siri za hicho kitabu.......:laugh:
TUKO
si mchoyo atanipa vtabu na majalida yote ila naogopa asitake tufanye FIELD KWA YALE JAMAA ALIYOYAANDIKA..
dada tom bwna.....kat ya majina mazur ni TOM ..WAT DO U SAY?

tom jaman...tom ivi...tom ahh ...to to tom on top...haha hahha byeeeeeeeeeee!!!!!!
 
Hiki kitabu kilinisabishia maumivu kwa nilichapwa nilipokiiba kukisoma! na kikafichwa na my late father mpka anafariki aliingia na siri ya hiki kitabu kaburini, I was in std 6 by then!

Pole sana, ulikosa uhondo...
 
TUKO
si mchoyo atanipa vtabu na majalida yote ila naogopa asitake tufanye FIELD KWA YALE JAMAA ALIYOYAANDIKA..
dada tom bwna.....kat ya majina mazur ni TOM ..WAT DO U SAY?

tom jaman...tom ivi...tom ahh ...to to tom on top...haha hahha byeeeeeeeeeee!!!!!!

wewe Rose usinifanye nibadili jina la mwanangu........mbona akili yako imeharibika ivyo,unawaza hilo jina zuri kila saa....byeeeeeee!!!
 
Kwenye ile novel kuna stori anatoa mwandishi ya dada anaitwa Josephine. Hii ndo itanifanya kamwe nisisubutu kutata field...
 
[/COLOR]

wewe Rose usinifanye nibadili jina la mwanangu........mbona akili yako imeharibika ivyo,unawaza hilo jina zuri kila saa....byeeeeeee!!!

Kumbe mwanao wa kiume... Mi nnaye wa kike...:clap2::clap2::clap2:
 
[/COLOR]

wewe Rose usinifanye nibadili jina la mwanangu........mbona akili yako imeharibika ivyo,unawaza hilo jina zuri kila saa....byeeeeeee!!!
tom jina zur teh teh !...asikwambie mtu mbona haukumwta mwanao CHNGWAMBE,KANDIMBA..
ahh bwana tom jina zuri
na katika madogo zangu wote nampenda uyu tom
bt matom weng wana tabia izi
watundu,wavivu,mapleya
bt wanajalisana

wanapenda hesabu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom