LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Ndg zangu naombeni direction ya mtu mzima kupata elimu ya watu wazima kama ilivyokuwa ada kwa ndg yangu mmoja aliyetaka nimwulekeze nami nikamwambia awe mpole kwn nitamwelekeza aanze wapi na amalize wapi! Sasa Mi mwenyewe si mwongozo wowote katika hili,naombeni mwenye kujua anifahamishe na natanguliza shukrani! Nawasilisha!!