Polisi na Dr Nchimbi wako NYOLOLO wanawakamta CHADEMA,wananchi na wezi jiamulieni wenyewe!hatima ya mwizi wa Bajaji dsm
Mtu anaiba kuku tunampondaponda kiasi hiki, lakini wale wanaoiba vijisenti vyetu na kuvihifadhi uswis tunawatukuza na kuwapa heshima zote katika taifa. Kweli inasikitisha sana.
Mkuu kinachonisikitisha mimi ni kwamba mambo haya yanafanyika wakati watoto wanaona, na picha moja hapo inaonyesha kijana akiwa na sare ya shule nae anampiga huyo 'anayetuhumiwa'.hatima ya mwizi wa Bajaji dsm