Mwizi wa BAJAJI na wenye hasira zao kali

attachment.php

attachment.php

attachment.php

This is too bad! ... binadamu wanapokuwa hawathamini UHAI wa MTU! ... ipo wapi haki ya mtu ya Kuishi?! ...

Jambazi anaua ... (that's too bad) ... mbaya zaidi na Raia nao wanaua! ...

Hivi ... Je! mfano ukikuta kasingiziwa ... au labda hajaiba .... ni nani wa kubeba lawama za maisha ya mtu huyu? ... hata kama kaiba!

Ipo wapi haki ya mtu ya Kuishi?! ...
.

Umeongea points
 
Kuna kupona hapo
akipona najiua mimi japo hili jambo sio zuri kibinaadamu ni zuri sana.hawa watu wamewachinja sana waemdesha bajaji na wanaoendesha boda boda kiasi ambacho ukikodi bajaji usiku wanajitahidi wawe wawili ilikuuboresha usalama wao.
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

This is too bad! ... binadamu wanapokuwa hawathamini UHAI wa MTU! ... ipo wapi haki ya mtu ya Kuishi?! ...

Jambazi anaua ... (that's too bad) ... mbaya zaidi na Raia nao wanaua! ...

Hivi ... Je! mfano ukikuta kasingiziwa ... au labda hajaiba .... ni nani wa kubeba lawama za maisha ya mtu huyu? ... hata kama kaiba!

Ipo wapi haki ya mtu ya Kuishi?! ...
.

dini zao za kinafiki zinawafundisha kwamba kifo hupangwa na mungu sasa sijui hayo mawe ni mungu anyway unafki unaanzia humo humo kwenye imani.
 
Back
Top Bottom