Kawe ni jirani na Kambi la Lugalo, siku likija lipuka utamshauri aende wapi . Mwambie aende sehemu zilizo mbali na shughuli za majeshi ya Tanzania .Mabom Mabom!
Uncle wangu alikuwa anaishi mbagala,baada ya mabom ya mbagala akaamua ni heri ahamie gongo la mboto,sasa na huko imekuwa balaa,karibu upande wa nyumba nzima umebomoka
Mi nimemshauri ahamie Kawe sasa hivilabda huko anaweza kuwa salama
vp wadau mnamshauri ahamie wapi labda panaweza kuwa salama zaidi?????
Mabom Mabom!
Uncle wangu alikuwa anaishi mbagala,baada ya mabom ya mbagala akaamua ni heri ahamie gongo la mboto,sasa na huko imekuwa balaa,karibu upande wa nyumba nzima umebomoka
Mi nimemshauri ahamie Kawe sasa hivilabda huko anaweza kuwa salama
vp wadau mnamshauri ahamie wapi labda panaweza kuwa salama zaidi?????
Tusimjadili sina huyu kilaza, je tunaanzaje kukomeshe hali iliyopo hapa kwetu?
This is the time, the only time!
Umeme,
Bei ya Bidhaa juu,
Mfumuko wa bei,
Kushuka thamani ya shilingi,
Umaskini wa kipato,
Nauli juu,
Bei ya umeme juu,
Bei ya mafuta juu,
Huduma mbovu za afya,
Kushuka kiwango cha elimu
Barabara mbovu,
Foleni miji mikuu,
Bunge lisilo na meno,
Ufisadi uliokithiri,
Wizi wa pesa za umma
Matumizi ya kifahari wakati wananchi wanataabika
.......................
......................
MABOMU YA GONGO LA MBOTO
Watu wamepotezana
Watu wamekufa
Watu wameumia
Watu wamepoteza makazi yao
Watu hawajala hadi sasa hivi
Waathirika wa Mbagala walitapeliwa na kudhulumiwa
......................................
......................................
SERIKALI ISIYOWAJIBIKA KWA RAIA KABISA
MAISHA MAGUMU KILA UCHAO
Nguvu ya umma sasa au we are doomed forever!!!!!!
Kwani Arusha kuna kombati ya chama ata moja ililegwa risasi, acheni kuwarubuni watu kwa masilai yenu binafsi. Watu wafe mtengeneze majina yenu.
Aku! mimi sipo kabisa
Hapana, mimi sishauri, wewe ni mwanasiasa. Familia yako na wewe mtakuwa salama. Tutakao kufa ni sisi. Nguvu ya uma aifai.
Ushidwe!
bongo Hatutaki mambo ya misri,tunisia
me naona tuwape kama wiki hawa wahanga wa haya mabomu then tuendelee kuhamasishana kulianzisha kwani tukifika kama 50000 sio rahisi kutuzuia pale Tahirir squre aka Mnazi mmoja tukijipanga kusogea magogoni kwani raia wengine watakuwa wamehamasika na kuongezeka.....