Mwita Waitara Mwikabwe Mbaroni kwa mauaji Singida

Wataisoma namba CHADEMA hiyo magogoni 2015

wewe unazungumzia 2015 wakati kuna watu wamebambikizwa kesi wakati ndio sasa wa kukomboa nchi na kurudisha heshima na utii wa sheria twendeni tukamtoe kwa mabavu liwalo na liwe!!
 
Hili jamaa tulipokuwa njuka pale aza boy 1999 lilikuwa linamalizia form 4...lilikuwa linapiga soga parade kila siku asubuhi..yani linaboa hadi basi....sasa kama limekuwa lituhumiwa la mauaji inashangaza sana...walipeleke huko Iramba wafiwa walisulubu wenyewe
 
Wataisoma namba CHADEMA hiyo magogoni 2015

Wewe thubutu kudadadeki haitatokea,mtaishia kusikia harufu tu mkiwa pale posta kwenye ukumbi wenu mkiwa mnasakata rumba kama kawaida yenu Billicanas,ikulu pasaauni mmeumbwa unyani mnautaka ungedere ndiyo maana mnaamasisha migomo na kufanya fujo ili kufanya inchi isitawalike mnataka muingie ikulu kiujanja janja ha ha ha ha ha ha haitatokea vijana wengi wazalendo tupo hatuwezi kubali kirahisi rahisi!
 
sasa sijui kama alieyeua atakuwa amekodishwa toka uganda au alikuwa anaenda ungama? Hiyo ni kutokana na fitna za mwigulu kutuma watu wakafanye virugu ktk mkutano wa chadema.wmkamate tena kwanza mwigulu.
 
Wote mnalopoka tu hamumjuhi vizuri Mwita Waitara huyu jamaa amesoma Azania kuanzia O'level mpaka high level amesoma miaka ya wakina Robert kato,Mbavu nene, Mwasi na Shafii Dauda kiukweli huyu jamaa ni mtata muda mrefu toka akiwa shule alikuwa haelewani kabisa na Mchwa Mpaka na wanafunzi wenzie hostel,sasa kwenye fujo za huku mtaani sisi tunaomjua mwita hatushangahi ni kawaida yake ukimchanganya anakubutua ni mtu ambaye hapendi sana utani kipindi hicho viongozi wa hostel walikuwa Kamtu na Nyakia badae akaja Joseph Kihogo!
 
Hao uliowataja woooote sidhani kama kuna mtata zaidi ya Marehemu Puzza enzi zile za Tambaza.

Unapomtaja Puzza basi ni lazima umtaje na Gang Chomba kwa sababu ndie alikuwa kamanda mwandamizi mwenzie.
 
Nimesoma just now toka blog ya *************** kuwa amekamatwa kwa mauaji yaliyotekea juzi hapo Singida, hii ni baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari

Duh! yaani unaokota habari kwenye blog halafu unaiita 'BREAKING NYUZ!!!!!'
mama kuwa sirias! breaking nyuz ni habari ya moto moto, mostly unakuwa wewe wa kwanza kuitupa hapa.
Waitara yuko huru mtaani saa nyingi tu
 
Duh! yaani unaokota habari kwenye blog halafu unaiita 'BREAKING NYUZ!!!!!' mama kuwa sirias! breaking nyuz ni habari ya moto moto, mostly unakuwa wewe wa kwanza kuitupa hapa.Waitara yuko huru mtaani saa nyingi tu
huru lakini ni kwa dhamana kama umeangalia itv utakua umeelewa vzr japo mleta mada kasema ni kwa mauaji lakin itv wanasema ni kwa kutoa lugha ya matusi.
 
=KOMBAJR;4251135]wanaacha kumkamata Msangi wanamkata Mwita this people bwana]

NDIVYO WANAVYOELEKEZWA NA WAKUBWA ZAO, HAWAWEZI KUJENGA HOJA KWANI HAWA KULELEWA HIVYO. KWANZA KUFIKIA HAPO WAMEPEWA NAFASI WAKITOKEA LINE POLISI AU JWTZ WALIOKUWA WAVUTA BANGI!!!!!!! HAWAWEZI KUJITAWALA KTK MAADILI YA KAZI. WAMEZOEA KUBEBWA NA NDIYO MATOKEO HAYO. IPO KAZI!!!!!!!! TUTAFIKA KWELI???????
 
Nimesoma just now toka blog ya *************** kuwa amekamatwa kwa mauaji yaliyotekea juzi hapo Singida, hii ni baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari

Ni kweli anashikiliwa lakini si kwa kosa la mauaji bali ni kwa kutumia lugha ya uchochezi. source ni tarifa ya habari ya TBC SAA mbili
 
sasa si ccm au cdm wote wameoza kwa tuhuma za matumizi ya nguvu kufanikisha malengo ya kisiasa...............chaguzi ya 2015 inabidi tujifunge kibwebwe vinginevyo tutajikuta kisiwa cha vurugu za kuwapigania wachache na jamaa zao kujipatia mkate wao kwa damu yetu.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom